Uchaguzi 2020 Mbowe atakiwa kuomba radhi baada ya kusema vyama vingine vya upinzani vinashirikiana na CCM

Mbowe kasema ukweli mchungu tupu, haiwezekani waungane na ccm kumhujumu mgombea wa ukweli wa upinzani wa kweli lissu.
 
Upinzani Tz ni chadema na act wazalendo basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Chaumma ya Hashim Rungwe nao ni wapinzani wa kweli
 
Eeeeeee wakizuiliwa kufanya kampeni nchi nzima siitakuwa balaaaaaa!!! Labda kulipa fine ya pesa
Kwani hatuwajui ,mamluki wapo wengi,na wengine wameahidiwa nafasi.
 
Tumeishasema sana humu Chadema ni cha watu wabinafsi, wana roho mbaya, wajinga, wapumbavu na watu wanaofikiri wao tu wajuaji. Ikitokea wakaota wanatawala nchi hii, tutakuwa zaidi ya Belarus!!
 
CHAUMA pia tuko jikoni tunaandaa tamko.

#ubwabwa kwa wote.

Aiseee utawasema wapinzani uchwara wooote ila usimuweke kwenye hilo kundi mzee Rungwe

Yule chama chake ni cha kikatuni tu na kwamba anapenda kuonekana kwenye ballot paper ila hawezekani kuwa kundi moja na CCM kamwe
 
Chama cha Demokrasia Makini Wapeleke malalamiko Tume ya maadili officially kwa hicho mbowe alichotamka ili Chadema wachukuliwe hatua officially ikiwemo kuzuiwa kufanya kampeni kama chama nchi nzima
kuna kitu mnakitafuta kwa chadema na Lisu nahuyo mahera wenu na hamtakipata hadi siku ya oct28 tutakapowafurumusha kupitia box la kura
 
Mbona ipo wazi jameni? Kuna mambo watanzania tunakua wanafiki kweli? Macho nyanaona lakini kwa maksudi tunajifanya sio kweli? Pretenders!
 
Tamko la Mbowe litakigharimu Chadema vyama vingine vya upinzani vitawaambia wanachama wake pigia chama chochote isipokuwa Chadema hata kama hutaki kutupa kura
Hao watu wakuambia hivyo watawapata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…