Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mpo salama!
Tumeona kinachotokea Korea ya Kusini. Rais wa Korea Kusini alivyowajibishwa.
Mbowe asidhani kuwa kwa vile yeye ni mwenyekiti hawezi kuchukuliwa hatua zozote ikiwa itabainika anachukua Rushwa au kutoa Rushwa
CHADEMA kama cha cha Demokrasia lazima kifikie hatua na kuwa na watu wenye uthubutu wa kuwawajibisha Mpaka wale viongozi wa juu kabisa WA chama ambao sio waadilifu.
CHADEMA hakipaswi kuwa na viongozi waoga(wanaoogopa Kusema ukweli) wanaowalindia viongozi makosa Yao na kuiita hiyo ni BUSARA.
Hakunaga Busara yoyote ya kuficha maovu kwa mtu yeyote. Kufichiana maovu ni sehemu ya uovu.
Mbowe lazima ajue Mawazo aliyonayo kuhusu kuwawajibisha baadhi ya WanaCHADEMA ambao wamekengeuka Basi hata yeye wapo watu ndani ya CHADEMA wenye uthubutu wa kumuwajibisha pale anapokengeuka.
Lisu ni Kati ya Wachache wenye uwezo na uthubutu wa kumuwajibisha yeyote ndani ya CHADEMA na yeye yupo tayari kuwajibishwa ikiwa amevunja sheria.
Ni hayo tuu!