Musachawenyu
Member
- Aug 6, 2020
- 84
- 109
Toka John Mrema ahitimu elimu ya Ualimu na kupata Gentlemen pass hajawahi kuwa na maisha nje ya Chadema au siasa.
Gari ya kwanza kumiliki Mbowe alimpa zawadi ya Nissan Safari ambayo ilikuwa Mali ya Chadema.
Kapata mke kupitia posho za chadema. Kajenga kupitia pesa ambazo anahongwa na Mbowe kuendelea kuwa Chawa wake promax.
Yuko tayari kuwekea watu sumu boss wake awe tayari kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama kwa maslahi yake na ya familia yake. Hana ushawishi wowote ila anafaidika na rasilimali za Chadema.
Kadharika kwa Benson Kigaola, Naibu Katibu Mkuu na Chawa lialia.
Huyu analala ubavuni kwa mbunge mmoja wa wale Covid 19 ambaye ni mke wake. Huku wanapiga kelele wamewafukuza huku chawa anakula kuku zinazotokaka na mshahara wa kibunge wa huyo Covid 19.
Ni unafiki tu wanaofanya huku wakiangalia maslahi binafsi.
Hawa wote hawampiganii mbowe sababu wanampenda, bali maslahi yao ya maisha.
Hivyo Lissu ategemee vita kubwa sana toka kwa hawa machawa wakuu wakifuatiwa na vichawa vikina Yerico.
Pia soma