Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

GEE2PATEL

Senior Member
Joined
Oct 24, 2018
Posts
139
Reaction score
293
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

Kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,


MBOWE KAKOSEA KUANDIKA KWA RAIS BADALA YA MAHAKAMA, WALA MAGUFULI HATAJISHUGHULISHA NA KI MEMO HICHO MAANA ANAJUA MAHAKAMA IKO HURU NA ANAJUA KWAMBA HAWEZI KUIINGILIA

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika


BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
 
...ana kwa ana...
 
Nadhani azoee tu, kuna watu wangapi wapo mahabusu kwa kukeuka taratibu za mahakama? Aendelee kusota ili liwe fundisho la kutenganisha uadilifu na uongo
 
Nilidhani amemwandikia Jaji mkuu!
 
Wao hudai rais anaingili Uhuru Wa mihimili mingine,sasa na halo si watamugeuka tena kuwa kaingilia,atulie anyolewe vilivyo,kama ndo ningekuwa sekretari Wa rais, nisingefikisha kwake hiyo taka taka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…