respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Nyie watu laiti mngejua hasira mnazopandikiza kwa raia mngeacha kupost up upuuzi huu..!!
Mbowe hana sababu ya kumuomba huyo mtu amwangalie yeye kwa jicho la huruma. Isipokuwa huyo Nyapara ndie wa kumuomba Mbowe amwangalie yeye kwa jicho hilo.. Hivi hamjiulizi kitu kidogo tu kama condom kuadimika mitaani, just kifaa cha kufanyia starehe kinaadimika na ku make headline Tanzania nzima..!! Nyie mnakutana kwenye mibaraza ya lumumba mnapapasana kisha mnakenua mnajisikia raha kwa vi elfu kadhaa mnavyopewa kwa muda mfupi kisha vinaisha .
Nawaambia hamjui impact ya upumbavu mnaopumbazwa kwenye mabalaza yenu endeleeni kuchekeshana huko... Mwanga hauko mbali.
BACK TANGANYIKA
Sent using Jamii Forums mobile app