Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Vjana wanaonekana kusikitishwa na Maamuzi ya mbowe kwa kuuzulia halfa ya watesi wa Chama Chake CHADEMA
Bon yai:
"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu,
kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu;
unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa yangu,daima naiona waziwazi dhambi yangu.." Zaburi 51:1-19