johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema Chadema iliasisiwa kama Chama kinachoamini Kwenye Uhuru wa soko, Uhuru wa Watu Kufanya Biashara na kuhimiza Uwekezaji na kuchochea Wawekezaji wa Nje kuleta mitaji nchini
Mbowe amesema Chadema siyo Chama Cha Kijamaa
Aidha Mbowe amesema Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema Mzee Mtei alichaguliwa akiwa na umri wa miaka 62 Sawa tu na yeye japo wanapishana kidogo
Alipofikisha Umri wa miaka 68 Mwenyekiti Wetu Mzee Mtei alistaafu Kwa hiyari na hakulazimishwa na yoyote
Chanzo: Clouds media
Jumaa Mubarak 😂