Mbowe: CHADEMA hakikuanzishwa kama Chama cha Kijamaa bali Chama kinachoamini Uhuru wa Soko, Biashara na Uwekezaji. Mtei alianza Uenyekiti na miaka 62

Mbowe: CHADEMA hakikuanzishwa kama Chama cha Kijamaa bali Chama kinachoamini Uhuru wa Soko, Biashara na Uwekezaji. Mtei alianza Uenyekiti na miaka 62

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema Chadema iliasisiwa kama Chama kinachoamini Kwenye Uhuru wa soko, Uhuru wa Watu Kufanya Biashara na kuhimiza Uwekezaji na kuchochea Wawekezaji wa Nje kuleta mitaji nchini

Mbowe amesema Chadema siyo Chama Cha Kijamaa

Aidha Mbowe amesema Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema Mzee Mtei alichaguliwa akiwa na umri wa miaka 62 Sawa tu na yeye japo wanapishana kidogo

Alipofikisha Umri wa miaka 68 Mwenyekiti Wetu Mzee Mtei alistaafu Kwa hiyari na hakulazimishwa na yoyote

Chanzo: Clouds media

Jumaa Mubarak 😂
 
Safi kabisa
Chadema sio chama Cha kijamaa..
Ongeza na hili "Alikuwepo wakati chama kinaanzishwa akiwa mdogo na akiwa miongoni mwa watu 10 walioanzisha''
Kwa maana hiyo nae ni mmiliki wa Chama hicho 😂😂😂..
Acha niendelee kumpigia CCM kura.
 
Back
Top Bottom