johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuone isije kuwa kama mbagala watu kiduchu!sisiemu wamekimbia Mji ...Arusha kesho inakwenda kutoa UJUMBE kule NYAMAGANA wazee na vijana wanasema NZAGAMBA PAMBALUU
Stay tuned ...hapa hapaNgoja tuone isije kuwa kama mbagala watu kiduchu!
Nipo hapa hapa bwashee!Stay tuned ...hapa hapa
nahene NgaloNipo hapa hapa bwashee!
Inakuhusu? Basi faidika nayoKweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
Hizo sehemu zina watu wengi hivyo kwa siku jizo watakuwa wamefikia watu mil 19 ya watuChadema wanaonekana kukomaa na majiji na manispaa tu, wakumbuke na maeneo ya pembezoni mwa miji nayo yana umuhimu wake.
Japo naona wanawekeza zaidi kule wanapoona wanakubalika zaidi, sio vibaya kufanya hivyo.
Na unajua vyema nani aliyetufikisha ila tutashinda tu, tuna watu na sio vituKweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
wabunge mlishawanunua ruzuku hakuna tena tunachanga sisi ww inakuuma niniKweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la Dsm.
Mbowe amesema mgombea urais wa Chadema kesho atakuwa jijini Arusha na keshokutwa atakuwa jijini Mwanza kwa shughuli za kampeni.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!