Uchaguzi 2020 Mbowe: CHADEMA inafanya kampeni kimkakati, kesho tutakuwa Arusha na keshokutwa Mwanza

Kweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
Bora hawa. Nyie mwajivunia ufisadi mkubwa mnaoufanya. Mnjichotea pesa mtakavyo

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
Yaani chadema,itafika wakati watakua kimya Kama siku mbili tatu wakipumua,wapo hoi kifedha
Huwezi kumrusha mgombea toka Dar Hadi Arusha,halafu unamrusha Hadi mwanza,hapo Kati atapita lini?
Maana yake ni kwamba hawana fedha,wanaanza kwenye majiji huko malinyi na mikese kina professor Jay watamaliza
 
MMEKOSEA KUWAACHIA MAJERUHI KAZI NGUMU KAMA HIILI.

MAJERUHI WA RISASI NA MAJERUHI WA KONYAGI WOTE WAMEJAA SUMU, WANATEMA HASIRA BADALA YA SERA.

KAZI MNAYO!
 
Maendeleo hayana vyama!
 
Kweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
Jambo ulisilolijua ni kwamba hata CCM wanategemea michango ya wananchi inayoitwa kodi, so its just a way of naming it and mode of collection.
 
sisiemu wamekimbia Mji ...Arusha kesho inakwenda kutoa UJUMBE kule NYAMAGANA wazee na vijana wanasema NZAGAMBA PAMBALUU
Subilini tuje tuamshe dude kisha mtatorokea polini nyumbu wa ufipa, setengeti inawasubiri
 
sisiemu wamekimbia Mji ...Arusha kesho inakwenda kutoa UJUMBE kule NYAMAGANA wazee na vijana wanasema NZAGAMBA PAMBALUU
Tunazo picha za lowasa akiwa Arusha 2015 tutafanya ulinganisho kwa weledi.mjitahidi msije kutoa tena visingizio
 
Nyie piteni kwenye majiji CCM wanaokota okota kwanza kura za vijijini wakimaliza wanafanya finishing ya HATARI kwenye majiji yenu [emoji23]
 
MMEKOSEA KUWAACHIA MAJERUHI KAZI NGUMU KAMA HIILI.

MAJERUHI WA RISASI NA MAJERUHI WA KONYAGI WOTE WAMEJAA SUMU, WANATEMA HASIRA BADALA YA SERA.

KAZI MNAYO!
Best comment
 
Kweli mkakati kwa sababu kutegemea fedha za michango ya raia kwa kampeni hii hufiki popote . Chadema wapo hoi fedha hazitoki ndio maana kampeni kubwa watafanyia Dar pekee gharama ni ndogo. Poleni makamanda
Sisi tutawachangia nyie ibeni hazina kama kawaida yenu. Mpwa Dotto James Mungu wakati atawaumbua binafsi
 
Hamna mikakati wala mipango

Mwendo ni hoya hoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…