Mbowe: CHADEMA tutaishi bila uchawa tutasema kweli Daima, tutanyoosha hatutaki Unafiki!

Mbowe: CHADEMA tutaishi bila uchawa tutasema kweli Daima, tutanyoosha hatutaki Unafiki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kauli nzito sana hii

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa

Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki

Source: Jambo TV

Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
 
Kauli nzito sana hii

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa

Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki

Chanzo: Jambo TV

Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!

 
Back
Top Bottom