J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Mar 10, 2023 #1 Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Source: Jambo TV Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Source: Jambo TV Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 12,213 Reaction score 28,916 Mar 10, 2023 #2 Mtaani wanajua chademo ni chawa wa CCM siku hizi USSR
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Mar 10, 2023 Thread starter #3 Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Chanzo: Jambo TV Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Chanzo: Jambo TV Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
I Interested Observer Platinum Member Joined Mar 27, 2006 Posts 4,999 Reaction score 7,928 Mar 10, 2023 #4 Asali nayo huwa inalewesha!
Mocumentary JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 857 Reaction score 2,241 Mar 10, 2023 #5 Sawasawa Mbowe. Tunajenga taifa la watu waoga na wajinga kupromote uchawa. Tukemee Uchawa
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,432 Reaction score 191,751 Mar 10, 2023 #6 Interested Observer said: Asali nayo huwa inalewesha! Click to expand... Hawataishi bila uchawa huku wamelambishwa asali mpaka wanashindwa kubonga
Interested Observer said: Asali nayo huwa inalewesha! Click to expand... Hawataishi bila uchawa huku wamelambishwa asali mpaka wanashindwa kubonga