The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Toka ccm waanze kubadilisha mwenyekiti ufisadi umekwisha, ubaguzi umekwisha..ni ujuha kukariri mambo bila kuelewa matokeo yake kwa jamii..Mbowe bana yani hajui kuwa asipoondoka CHADEMA itapata kashfa ya Uroho wa Madaraka madhara yake haiwezi kupewa nchi
..bora chadema kuliko genge la wezi wanaopokezana uongozi kwa kujuana kuwaridhisha wajinga ili waendelee kuiba!🤣🤣🤣 Chadema ni ya familia kama sio ukoo, Makosa yetu ni kuchelewa kujua.Tujisamehe tu.
Bora utafute nafasi ya kwa kujuana tutaungaunga kuliko kutafuta nafasi kwa familia undugu sasa .Kwa akili zako sikusapoti hili...bora chadema kuliko genge la wezi wanaopokezana uongozi kwa kujuana kuwaridhisha wajinga ili waendelee kuiba!
Kama kiongozi hawezi kukamilisha Agenda zake muhimu ndani ya miaka 10, huyo hana vision na hata ukimpa miaka 25 hatofanya chochoteWanaotaka ukomo wa madaraka wanataka uwe miaka mingapi?
Miaka 3, 5, 7, 10, 15, 20, 25 au 30??
Kwani anajaliMbowe bana yani hajui kuwa asipoondoka CHADEMA itapata kashfa ya Uroho wa Madaraka madhara yake haiwezi kupewa nchi
Mbona Urusi hakuna term limits??Kama kiongozi hawezi kukamilisha Agenda zake muhimu ndani ya miaka 10, huyo hana vision na hata ukimpa miaka 25 hatofanya chochote
Kuna sababu kwanini “term limits” huwa zinawekwa na Mzee Mbowe anataka kutafsiri vibaya maana ya ukomo wa uongozi kwa sababu ana intetest kubwa
Sasa hapo CCM imeingiaje?Toka ccm waanze kubadilisha mwenyekiti ufisadi umekwisha, ubaguzi umekwisha..ni ujuha kukariri mambo bila kuelewa matokeo yake kwa jamii..