Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kumekucha huko!
Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine.
Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya kujikacha katika kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya uwenyekiti wa CHADEMA?
======================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefunguka na kueleza kuwa Familia yake imemwambia aachane na siasa.
Soma Pia: Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni role model, asiogope mtu yeyote hata we nje ya nchi
Nimekuwa na wakati mgumu na familia yangu, hakuna kipindi familia yangu imenikalia mguu pande kama kipindi hiki wananiambia baba inatosha, toka achana na siasa rudi nyumbani uendelee na maisha mengine.
Aidha sijapenda namna ambavyo makundi mbalimbali ndani ya chama chetu yanahasimiana kwa kukashifiana, kutukanana, kudhalilishana, na zaidi kusema uongo. Hii taasisi tumeijenga kwa uaminifu mkubwa hadi hapa tulipoifikisha.
Namatumaini yangu kila kiongozi wa chama chetu kama haimini mpaka leo kinachofanyika ndani ya chama chetu cha CHADEMA kina ukweli pengine yupo kwenye nyumba ambayo si sahihi. Tunapenda kusema ukweli chama hiki kinaongozwa kwa vikao, chama hiki akiongozwi na matamko ya mwenyekiti Mbowe.