Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Hakatazwi, anachojadili Bwege ni style anayotumia? Ni bata au kuku? Kabla ya August tutajua.Kwani Mzee Mbowe anakatazwa kuhama chama?
Wengi tu; kwabahati mbaya kazi ya tiba ina kiapo cha kutunza siri za watu na maradhi yao, hivyo sitakupatia takwimu.Umetibu wagonjwa wangapi leo?
Umewaza vyema sana, yani ni bonge la mtego. Kama yupo smart asiingie kabisa!Watawala wakifanikiwa kumpeleka Mbowe CHAUMA itakuwa ni kete ya muhimu sana kwa wananchi. Hili litakuwa somo kubwa sana la siasa na wanasiasa kwa watanzani kuanza kujipigania wenyewe badala ya kudhani kuna mwanasiasa anayepigania maisha yao
Kimsingi kwa watu makini, litakuwa ni kosa kubwa la kimbinu na "ingekuwa" watanzania ni watu makini hili kosa watawala wangelijutia
Mbowe aseme nini viongozi wa chama wapo.Mbowe akisema mtamwambia aache kuwashwawashwa.Pambaneni na hali yenuNimevutiwa sana na mahojiano ya EATV na mbunge mstaafu wa Kilwa kusini, ndugu Suleiman Abdallah, almaarufu Bwege ya tarehe June 9, 2025.
Mahojiano hayo yaliyohusu mambo mengi ikiwemo, hali yake kiafya, vyama vya siasa na madai ya reforms kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nafasi ya ndugu Freeman Mbowe na ujio wa CHAUMA. Hili la mwisho ndilo ningependa kulizungumzia leo.
Katika mahojiano yake, ameeleza kuwa katika kulea vifaranga; utamaduni wa mama kuku ni kutangulia na vifaranga kumfuata lakini utamaduni wa bata ni vifaranga kutangulia na mama bata hufuata. Kwa maoni yake mpaka kufikia August, kwenye hili la CHAUMA, tutajua Mbowe kacheza kama bata au Kuku?
Ndugu Suleiman Abdallah anahitimisha kwa kusema, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua. Amehoji; fumba na kufumbua, CHAUMA ya akina Kigaila imepata wapi uwezo wa kukodi Helikopter, kununua magari na kuanza kampeni nchi nzima?
Chama pinzani hakipendi chama pinzani.Watawala wakifanikiwa kumpeleka Mbowe CHAUMA itakuwa ni kete ya muhimu sana kwa wananchi. Hili litakuwa somo kubwa sana la siasa na wanasiasa kwa watanzani kuanza kujipigania wenyewe badala ya kudhani kuna mwanasiasa anayepigania maisha yao
Kimsingi kwa watu makini, litakuwa ni kosa kubwa la kimbinu na "ingekuwa" watanzania ni watu makini hili kosa watawala wangelijutia
Mkiishajua ni bata au kuku itakuwaje?Hakatazwi, anachojadili Bwege ni style anayotumia? Ni bata au kuku? Kabla ya August tutajua.
Wewe ulivyomuona Bwege yuko sawa mpaka iwe rejea yako?Nimevutiwa sana na mahojiano ya EATV na mbunge mstaafu wa Kilwa kusini, ndugu Suleiman Abdallah, almaarufu Bwege ya tarehe June 9, 2025.
Mahojiano hayo yaliyohusu mambo mengi ikiwemo, hali yake kiafya, vyama vya siasa na madai ya reforms kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nafasi ya ndugu Freeman Mbowe na ujio wa CHAUMA. Hili la mwisho ndilo ningependa kulizungumzia leo.
Katika mahojiano yake, ameeleza kuwa katika kulea vifaranga; utamaduni wa mama kuku ni kutangulia na vifaranga kumfuata lakini utamaduni wa bata ni vifaranga kutangulia na mama bata hufuata. Kwa maoni yake mpaka kufikia August, kwenye hili la CHAUMA, tutajua Mbowe kacheza kama bata au Kuku?
Ndugu Suleiman Abdallah anahitimisha kwa kusema, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua. Amehoji; fumba na kufumbua, CHAUMA ya akina Kigaila imepata wapi uwezo wa kukodi Helikopter, kununua magari na kuanza kampeni nchi nzima?
Mbowe kwa asili ni mpiga dili. Hivyo amepiga dili la hela ya Samia kupitia kwa Abdul ndiyo kazipeleka kukodishia chopa ya Chauma..Ndugu Suleiman Abdallah anahitimisha kwa kusema, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua. Amehoji; fumba na kufumbua, CHAUMA ya akina Kigaila imepata wapi uwezo wa kukodi Helikopter, kununua magari na kuanza kampeni nchi nzima?
CHAUMA ya akina Kigaila imepata wapi uwezo wa kukodi Helikopter, kununua magari na kuanza kampeni nchi nzima?
Tapeli tu wa siasa huyu. Mpaka namkumbuka Bw. Byakanwa kwa mambo aliyomfanyia huyu mwamba alivyokuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai. Kumbe huyu jamaa alikuwa sahihi.Watawala wakifanikiwa kumpeleka Mbowe CHAUMA itakuwa ni kete ya muhimu sana kwa wananchi. Hili litakuwa somo kubwa sana la siasa na wanasiasa kwa watanzani kuanza kujipigania wenyewe badala ya kudhani kuna mwanasiasa anayepigania maisha yao
Kimsingi kwa watu makini, litakuwa ni kosa kubwa la kimbinu na "ingekuwa" watanzania ni watu makini hili kosa watawala wangelijutia
Dada unapiga mswaki asubuhi na kuosha kimisi mbona hauna akili kiasi hiki.Mbowe aseme nini viongozi wa chama wapo.Mbowe akisema mtamwambia aache kuwashwawashwa.Pambaneni na hali yenu
Atajua mwenyewe na ccm inayomtumia kama ndomMkiishajua ni bata au kuku itakuwaje?