The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,849
- 9,643
Unajua chadema pamoja na kujiita chama Cha demokrasia na maendeleo ukiangalia chadema ya Tundu Lisu hawafahamu kabisa maana ya neno DEMOKRASIA.Kwani Mzee Mbowe anakatazwa kuhama chama?
Unajua chadema pamoja na kujiita chama Cha demokrasia na maendeleo ukiangalia chadema ya Tundu Lisu hawafahamu kabisa maana ya neno DEMOKRASIA.
Ni watu wanaoamini katika ubabe na chuki dhidi ya yeyote ambaye hafuati fikra za Tundu Lisu.
Moja ya demokrasia ni kuheshimu mawazo na misimamo ya kisiasa ikiwa pamoja na uhuru wa mtu kuhama chama Cha siasa na kwenda chama kingine.
Akishajua hilo itamsaidia nn?!!!!Hakatazwi, anachojadili Bwege ni style anayotumia? Ni bata au kuku? Kabla ya August tutajua.
Kwanini Chadema ina wanachama wanaonunulika kirahisi?Atajua mwenyewe na ccm inayomtumia kama ndom
Bwege tuMzee Bwege ni hazina ya taifa
Kwahiyo hakuongelea sera, matamanio yake kwenyr uchumi, social services au ulinzi na usalama?Nimevutiwa sana na mahojiano ya EATV na mbunge mstaafu wa Kilwa kusini, ndugu Suleiman Abdallah, almaarufu Bwege ya tarehe June 9, 2025.
Mahojiano hayo yaliyohusu mambo mengi ikiwemo, hali yake kiafya, vyama vya siasa na madai ya reforms kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nafasi ya ndugu Freeman Mbowe na ujio wa CHAUMA. Hili la mwisho ndilo ningependa kulizungumzia leo.
Katika mahojiano yake, ameeleza kuwa katika kulea vifaranga; utamaduni wa mama kuku ni kutangulia na vifaranga kumfuata lakini utamaduni wa bata ni vifaranga kutangulia na mama bata hufuata. Kwa maoni yake mpaka kufikia August, kwenye hili la CHAUMA, tutajua Mbowe kacheza kama bata au Kuku?
Ndugu Suleiman Abdallah anahitimisha kwa kusema, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua. Amehoji; fumba na kufumbua, CHAUMA ya akina Kigaila imepata wapi uwezo wa kukodi Helikopter, kununua magari na kuanza kampeni nchi nzima?
Mpaka sasa mikono yake inaanza kupooza kwa kupiga punyeto kwa hasira kisa chama kimemkataa.Mwamba ana hasira sana