Mbowe, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua

Kwani Mzee Mbowe anakatazwa kuhama chama?
Unajua chadema pamoja na kujiita chama Cha demokrasia na maendeleo ukiangalia chadema ya Tundu Lisu hawafahamu kabisa maana ya neno DEMOKRASIA.
Ni watu wanaoamini katika ubabe na chuki dhidi ya yeyote ambaye hafuati fikra za Tundu Lisu.
Moja ya demokrasia ni kuheshimu mawazo na misimamo ya kisiasa ikiwa pamoja na uhuru wa mtu kuhama chama Cha siasa na kwenda chama kingine.
 

Lisu yupo ndani huo udikteta anaufanyia wapi Komredi, hata hivyo si waliofanya uchaguzi ndo wakaPatikana lisu na heche au walijiweka, ebu fafanua na sisi tusiyoyajua ya chadema tupatekuyajua..
 
Ni bora kakaa kimya, anaandamwa sana. Yeye Siyo mwenyekiti tena, halazimiki kuonge popote.
 
Kwahiyo hakuongelea sera, matamanio yake kwenyr uchumi, social services au ulinzi na usalama?

Hakuna upinzani nchini
 
Mbowe walikuwa wanamuita mwamba lakini Lissu amemtikisa na kumtupa kule. Usanii wake na kuitwa mtoto wa mjini haujamsaidia. Na akienda chauma ndio utakuwa mwisho wake wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…