Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 889
MI nadhani tatizo ni kuwa tunashindwa kutofautisha nafasi ya vyeo. Unakuta kuwa kiongozi wa upinzani anaongea zaidi masuala ya misimamo etc lkn katika debates members wako huru kusimama nakuwasilisha hoja nk. NI mtazamo dhaifu kufikiri kuwa kiongozi wa upinzani ndo anafanya kila kitu kwani kwa kufanya hivyo ataji-expose na atashindwa kushirikiana na vyama vingine ikiwa ni pamoja na chama tawala kwani ni mhimu awe sehemu ya mijadala ya pamoja...
Ila Chief whip ambaye kazi yake ni kuweka nakuhamasisha wapinzani ana uhuru mkubwa zaidi kwani hahitaji sana kuinteract na chama tawala. Ndo nafasi ya Tundu Lissu. Pia kumbuka ni mwanasheria hivyo anajua zaidi masuala ya katiba, kanuni nk.
Sijui nimekusaidia kuelewa kidogo mkuu nafasi ya Mbowe? Ila usiwe na haraka ya kum-judge mtu, Mbowe ni kiongozi mzuri na utakuja kutambua hilo muda si mrefu...