Elections 2010 Mbowe hajui wajibu wake?

MI nadhani tatizo ni kuwa tunashindwa kutofautisha nafasi ya vyeo. Unakuta kuwa kiongozi wa upinzani anaongea zaidi masuala ya misimamo etc lkn katika debates members wako huru kusimama nakuwasilisha hoja nk. NI mtazamo dhaifu kufikiri kuwa kiongozi wa upinzani ndo anafanya kila kitu kwani kwa kufanya hivyo ataji-expose na atashindwa kushirikiana na vyama vingine ikiwa ni pamoja na chama tawala kwani ni mhimu awe sehemu ya mijadala ya pamoja...
Ila Chief whip ambaye kazi yake ni kuweka nakuhamasisha wapinzani ana uhuru mkubwa zaidi kwani hahitaji sana kuinteract na chama tawala. Ndo nafasi ya Tundu Lissu. Pia kumbuka ni mwanasheria hivyo anajua zaidi masuala ya katiba, kanuni nk.
Sijui nimekusaidia kuelewa kidogo mkuu nafasi ya Mbowe? Ila usiwe na haraka ya kum-judge mtu, Mbowe ni kiongozi mzuri na utakuja kutambua hilo muda si mrefu...
 

Anafanana na jina lake, Techology is Mechanical, lacks analysis
 
Sasa kama mbowe atakuwa anaongea kila kitu wabunge wengine watafanya nini bungeni? Kila mbunge ana haki ya kutoa hoja bungeni. Dr slaa na zitto walipokuwa wanatoa hoja zao kwenye bunge lililopita mbona hukusema kiongozi wa upinzani mh hamad alikuwa bogus? Kiongozi wa upinzani bungeni ana kazi zake maalum.
 
Chadema bana, mmekaa kishari shari tu thinking you know all best.
wewe nawe, unahitaji kurudi kiwandani kufanyiwa alignment ya thinking capacity.
siuoni huo uwiano wako maalum kama unavyojiita.
 
Aliesema kuwa kiongozi wa upinzani na kujua yote ni nani!!!??? mnatutafutia Ban za lazima nyie
hAHAHAHA MKUU WANIFURAHISHA SANA, UNAJUA KUNA WATU HUMU WAMETUMWA KUJA KUMWAGA PUMBA TU.
 
msimkaripie jamani, ongeeni nae kwa utulivu nakumshauri vizuri aende wapi panapomfaa.

Ndugu yangu kwa upendo wa dhati kabisa naomba uhamie mtaa wa pili kule kwenye ile kitu inayobaki kama maji ukitoa nyama au kama vipi nenda jahazi la kibonde
hahahah naona leo umepamga kunivunja mbavu mkuu dah!! Watu mnamanenoooo
 
hahahahahahahahahahaha dah
 
Nilitegemea mngekuja na constructive critism ili tumsaidie mwenyekiti wetu na mustakabali wa chama, ila mmejaza ushabiki na kulea uzembe naamini mbowe amesoma topic hii na atabadilika kwa manufaa ya chadema peoples poweeeeeeeeeer
 
we vipi,unataka kila kitu aende / afanye peke yake?

Na akifanya peke yake hamta kawia kusema mroho wa madaraka duh binadamu bwana
 
CHADEMA wako makini wanajua wanachokifanya! Kila mtu akisimama itakuwa ni kituko....! toa pumba zako

masanilo umeanza kuponda wenzako kwakua wanamkosoa mwenyekiti wa chamachako cha chadema?jaribu kua fair,panapoukweli lazima usemwe,mbowe hajui wajibu wake au tuseme ana ugeni nabunge au ninini?hebu tusaidie masanilo,ama kweli ukipenda chongo utasema ni kengeza
 

Bingwa wa kukurupuka ni Baba January...
Mbowe ni mtu makini sana, kuliko wewe na hao konokono wenzio waliokutuma
 

Sioni tatizo liko wapi??? Au umetumwa na nanii uje umwage nanii zako hapa!!!
 

Hizi shule za kata zinatucost ile mbaya!!
 
Matukio ya leo yalikua muhimu sana kwa yeye kuonesha umahiri na umakini, na hata spika alipolazimisha tundu lissu anayamaze bado alikua na nafasi ya kusimama na kuongea lakin hakufanya.


Brrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!! Pumba tupu!!! Ulifikaje humu? nenda kwenye facebook!
 
Technology: Unaweza kujua wadhifa wa Mbowe bungeni na kwenye kambi ya chadema lakini ni dhahiri hujui kazi ya Lissu kama Katibu wa kambi ya chadema (chief Whip) ni nini. Hawa watu wanajua wanachokifanya.
 
acha wendawazimu weye
 
Technolojia kula pilau na serengeti 2 halafu kesho njoo jamvini leo umeamka vibaya(ume polute)
 
CHADEMA wako makini wanajua wanachokifanya! Kila mtu akisimama itakuwa ni kituko....! toa pumba zako

Dont u think someone like zitto would be perfect for the post instead of Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…