Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ameonesha na kuthibitisha kuwa sasa yeye ni mlamba asali ya Ikulu aliyekubuhu.
Hili limethibitika hivi karibuni alipojaribu kujadili sakata la bandari ambapo badala ya kujadili hoja iliyopo meza na faida na hasara zake kwa umma na nchi kwa ujumla yeye amejifanya kuwashambulia wazanzibar wawili ambao ni mhe. Rais na waziri Mbarawa.
Huku ni kutuhamisha kwenye agenda kijanja sana ambapo sasa watu wamehamia kwenye kujadili uzanzibar na utanganyika na rasilimali zilipo kila upande.
Aidhi limeibuka kundi linalowatetea wazanzibar huku hoja muhimu ikisahaulika ambapo sasa naona bwana jiniazi Mbowe the mmachame og atakuwa anajichekea huko aliko.
CHADEMA kuweni makini na mwenendo wa bwana yuleee kwani sasa anaonekana kutumikia asali aliyilambishwa badala ya maslahi ya taifa.
Bwana Mbowe ametukosea sana kwa kututoa kwenye hoja na kuleta ubaguzi wakati taifa liko kwenye mjadala muhimu sana.
Nawasilisha wakuu wangu.