Mbowe hamaanishi anachokisema kwenye sakata la bandari

Mbowe anapesa wakati huo Baba yako anachunga watoto wa Mbuzi kule Bushi,
 
Punguza unafiki. Hayo Ni maoni ya Mbowe. Kama una maoni tofauti uyatoe. Punguza uongo.
 
Wewe huna akili. Kwenye hoja za Mbowe umeisikia hiyo ya Zanzibari tu?. Mtu anahoji inakuwaje bandarinza bara ndio zimo kwenye huo mpango, Mara mmekimblia kwenye ukanda. Wabunge wa Zanzibar wanajadili mkataba ambao hauwahusu lakini wewe umekalia unafiki wa kulamba CCM miguu.
 
Mbowe ni hatari kwa usalama wa nchi kila anapopewa jukwa lazima achomeka issue za ukanda

Leo mmehama kwenye asali, mnadai ni hatari kwa usalama wa Taifa. Halafu tofautisha usalama wa Taifa na usalama wa CCM.
 
Muulize mbowe na siasa zake za ukanda hadi kuna siku yule chizi wa Canada aliatamani siku moja atawale Arusha .Watanzania tuliingizwa chaka kuruhusu hawa wahuni wenye shule ndogo kupewe jukumu la kuongoza siasa mmbadala
Wewe mwenye akili kubwa una lipi zaidi ya kujificha kwenye key board?. Tatizo linapofika suala la kitaifa mnatafuta visababu vya kijinga kuhalalsha ufisadi wenu. Na hamtafaanikiwa
 
Wewe mwenye akili kubwa una lipi zaidi ya kujificha kwenye key board?. Tatizo linapofika suala la kitaifa mnatafuta visababu vya kijinga kuhalalsha ufisadi wenu. Na hamtafaanikiwa
Acheni siasa za maji taka yaani kikanda ,mnapiga kelele tu ,embu jiulize hiki chama kina zaidi ya miaka thelathini bado ofisi yake kuu ni kama nyumba ya kulala familia duni pamajo na mabilioni mliokwishalipwa kama ruzuku .Imagine mwenzenu kakimbia canada ili aje aweze kula hela za mikitano uchwara.
 
Wewe mwenye akili kubwa una lipi zaidi ya kujificha kwenye key board?. Tatizo linapofika suala la kitaifa mnatafuta visababu vya kijinga kuhalalsha ufisadi wenu. Na hamtafaanikiwa
Akili kubwa ndio maana ziwezi shabikia viongozi wenyr sifa zifuatazo;siasa za kikanda na pili hawana Elimu dunia inayoeleweka.
 
Leo mmehama kwenye asali, mnadai ni hatari kwa usalama wa Taifa. Halafu tofautisha usalama wa Taifa na usalama wa CCM.
Narudia tena na tena siasa za ukanda ni hatari kuliko kitu chochote kile ,na msipobadilika msitegemee chadema itaka ingingie ikulu
 
Wee jamaa ni sikio la kufa wala huna ufahamu wa semantics.
Kwa taarifa yako ktk nchi hii ishu ya uzanzibar na utanganyika ni sensitive na inavuta attention kuliko hata hiyo mikataba yako unayoikazania.
Mbowe yuko technical na anafahamu akiwa attach wazenj patawaka moto kama hivi na watu watahama na kucha mada iliyopo mezani. Jaribu kupevuka kiakili mkuu.
 
Mbowe anapesa wakati huo Baba yako anachunga watoto wa Mbuzi kule Bushi,
Sasa pesa si anazipata kupitia project kama hizo za kudevieti watu kutoka kwenye ishu muhimu na kutuletea chuki zake dhidi ya Wazanzibar? Kuwa pesa siyo ishu ila umezipataptaje?
 
Sijaelewa ulitaka kusemaje? Bandari wauze wengine uje umchafue mwingine? Akili zipo sawasawa kweli au umekunywa smart gin??
Soma vizuri na ukae kwa kutulia. Kwa nini badala ya kujadili ishu bandari meenyekiti wako amezua ishu ya uzanzibar na utanganyika tena kiubazi kabisa? Jibu hilo.
 
madalali wa mwarabu muuza watumwa weusi hamuwezi kujibu hoja za mbowe sanasana nendeni mkashangilie huku mkabinua makalio huko dubai kwa kuuza bandari.
Utumwa uliotukuka upo kwa wazungu. Rejea transatlantic slave trade kama kweli ulipitia shule japo kidogo.
Mambo ya kubinua makalio ni ya wazungu kupitia makanisa yenu ambapo sasa ushoga umekuwa sera rasmi ya kanisa huko uzunguni.
Lakini turudi kwenye mada kwanini mbowe anawachukia Wazanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…