Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani.
Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio katika zama hizi.
Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio katika zama hizi.