πππππSasa mbona na nyie mnaumia mkisikia form n moja kule ccm
Kuwa serious basi mkuu, yaani chadema waumie nyie ku print form moja! Ajabu sana hii. Chadema wataumia kwa mambo ya kitaifa kama katiba na tume ya uchaguzi ambayo mmeipiga rangi kwa kuongezea neno huru. Mambo yenu ya ndani hayawahusu Chadema ndiyo maana mlimpitisha mtu kama Jiwe kugombea urais na wala Chadema hawakusema lolote.