Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni na uchaguzi wa majuzi.
Kumbakisha Mbowe CHADEMA ni hatari sana. Ni heri aondoke na siri za zamani tu huku mikakati ya sasa ibaki kuwa siri za ndani.
Mimi sili Simba, mamba wala chui ila akitaka kunila Mimi na nikapona nyama yake naila vizuri sana.