Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tunaambiwa wana mamilioni ya wanachama, wakichangishana hata sh 500 kila mwanachama watapata pesa ya kutosha.Lisu mwenzio amechanganyikiwa, akaunti ya chama haina hata senti tano, hajui ataendeshaje chama
Utaelewa tuNilale tu huku mnanichanganya
OhoooKweli kabisa inatakiwa afukuzwe kama nccr walivyomtimua mbatia
MODs ikiwezekana liamzishwe jukwaa maalum hapa JF ili nyuzi kama hizi ziwe zinawekwa humo. Linaweza kuitwa Jukwaa la Milembe, ama la Viazi, ama hata la Ndezi, ili wale wenye kutumia vibaya uhuru wa kutoa, maoni, nyuzi zao zikusanywe hapo.Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni na uchaguzi wa majuzi.
Kumbakisha Mbowe CHADEMA ni hatari sana. Ni heri aondoke na siri za zamani tu huku mikakati ya sasa ibaki kuwa siri za ndani.
Mimi sili Simba, mamba wala chui ila akitaka kunila Mimi na nikapona nyama yake naila vizuri sana.