Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ilikuwa ni muhimu kwake kung'amua wakati si wake tena.Jamaa kabugi sana, kashindwa kusoma alama za nyakati simpo kabisa...kiazi kwelikwel!.
Kwa kutwezwa isivyokuwa ikitarajiwa!Mboe anatrend sana
Mwisho wake utakuwa si wa kufurahisha.Sidhani kama mbowe hayajui haya isipokuwa kitu pekee anachokitegemea kushinda uchaguzi ni backup ya CHAMA na serikali.
Hakika.Hakuna aliyeshindana na MUDA akatoboa.
Umenena vyema.Mbowe akishinda huu uchaguzi, maana yake CHADEMA inaenda kufa.
Mbowe angekuwa kocha wa timu ya mpira tungesema amepoteza ushawishi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Nikuulize swali? Na je nikiuliza utalijibu?Muda huwa ni Mwalimu sahihi kwa lolote jambo, Mfalme mpya bwana Mbowe yampasa atambue.
Bwana Mbowe anaweza kuhonga pesa kwa wapambe akidhani atabadiri upepo umtakao aondoke.
Bwana Mbowe anaweza kuahidi vyeo kwa vyawa wake ili kwa kujidanganya huenda watampigania ili labda ile kukubalika kwake kama zamani kutarejea, pengine.
Yote hayo hayatawezekana tena bwana Mbowe atambue.
Bwana Mbowe asichokielewa pengine ni kwamba wakati na matamanio ya watu kwake hayapo upande wake tena!
Ni wazi yapo mengi mazuri amefanya, lakini nyakati sizo za upande wake.
Hayupo na hatakuwepo awaye wa kupata kushindana na matamanio ya watu kwa muda watakawo.
Lakini bado alipo nafsini mwake alishatambua wazi kwamba wakati haupo upande wake tena.Madikteta hawanaga habari na mambo ya muda