Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Una uhakika na unachokinena?Hakutaka Chadema iwe na misimamo kama hii ya Heche na Lissu.
Hapo alipo anafurahia na kuchekelea moyoni.
Maana alishazoea siasa za biashara na kuitumia Chadema kama mtaji.
Acha kuuliza maswali ya kitoto.Una uhakika na unachokinena?
Sultan Mbowe ni chawa mzuri tu wa Samia View attachment 3652145
Kwamba anamchango juu ya vifo vyao au? 🤔Mbowe alijimaliza hapa mwenyekiti waje yuko jela yeye anapiga picha na aliyemweka mwenyekiti wake jela r.i.pMzee kibao na Mdude
Kwamba anamchango juu ya vifo vyao au? 🤔