Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama hakijajengwa kwa fedha za wizi kutoka mashirika ya serikali bali ni kwa wanachama kujitoa. Na pia kama wanaona ni kweli ameleta fedha nyingi mpaka wanasema analeta pesa peke yake basi na wao wapeleke hizo fedha kama ni rahisi.
Mambo ni moto