Kama ungelikuwa karibu yake ungemwambiaje?Kwani anataka aongoze mpk lini?
🤣🤣🤣🤣Linapokuja jambo la kutembeza spana, Lissu huwa haangalii usoni.
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.Linapokuja jambo la kutembeza spana, Lissu huwa haangalii usoni.
Lissu angekuwa hana busara na ana mdomo mchafu muda huu angekuwa jela.Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Mbowe is very smart,intelligent, humble full of prudence.
Lisu nampenda ila hana busara hata kidogo.
Safi sana Mbowe tupo nyuma yako na huhitaji kupiga kampeni yoyote mambo yako yanaeleweka hata na watoto wadogo.Wakuu,
Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu.
Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama hakijajengwa kwa fedha za wizi kutoka mashirika ya serikali bali ni kwa wanachama kujitoa. Na pia kama wanaona ni kweli ameleta fedha nyingi mpaka wanasema analeta pesa peke yake basi na wao wapeleke hizo fedha kama ni rahisi.
Mambo ni moto
View attachment 3179606
Mijitu kama ninyi ndio mko na mbeligiji Lissu...alafu mtegemee mpewe chama?Kwani anataka aongoze mpk lini?
Hivi tuseme ukweli mwenye kuonyeshwa ana uchungu na chama nani katika hawa tumwombee?Wakuu,
Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu.
Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama hakijajengwa kwa fedha za wizi kutoka mashirika ya serikali bali ni kwa wanachama kujitoa. Na pia kama wanaona ni kweli ameleta fedha nyingi mpaka wanasema analeta pesa peke yake basi na wao wapeleke hizo fedha kama ni rahisi.
Mambo ni moto
View attachment 3179606
Jela na marisasi ni kipi zaidiLissu angekuwa hana busara na ana mdomo mchafu muda huu angekuwa jela.
Kweli kabisa Lisu akichukua chama CDM itakufaKizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Mbowe is very smart,intelligent, humble full of prudence.
Lisu nampenda ila hana busara hata kidogo.
... keep reading between the lines!🤣🤣🤣🤣
Kwa maneno yake inaonyesha wazi kuwa hatoki!
Na inaonyesha spana mnazompiga kwenye mitandao ya jamii anazisoma!
Na inaonyesha kuwa zinamuuza kweli kwelikweli!
Haahaa atafia kwenye uwenyekitiKamanda wa anga upo sahihi 100%, CDM bado inakujitaji kuliko wewe unavyoihitaji.