Pesa niya watanzania sio ya Rais JPM (rip) Kuna muda tuache mambo ya ajabuAtakaa magogoni. Aibu kutumia vitu vya Magu ukionekana.
Sasa wenzio wanaona kuonekana kwenye vitu kama bombardier ni kumtukuza mwendazake.Pesa niya watanzania sio ya Rais JPM (rip) Kuna muda tuache mambo ya ajabu
Magu lake ni kaburi tu kule chatoAtakaa magogoni. Aibu kutumia vitu vya Magu ukionekana.
Nyie misule yake endeleeni kumtukuza na kumuabudu inatoshaSasa wenzio wanaona kuonekana kwenye vitu kama bombardier ni kumtukuza mwendazake.
Ujinga mtupu.Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma.
Hongera Mbowe na Chadema kwa kuonesha kuwa mnawajali wananchi zaidi kwa kuwapa elimu ya uraia na katiba mpya. Kwa juhudi zako ni matumaini yetu siku moja Chamwino patakuwa makazi yako.
Katika ubora wako,je vp baba yako.Mbowe hawezi kuingia kuwa Rais wa Tz, hivyo ni vyema hizi ndoto ukabaki nazo mwenyewe.
We mshamba nini.Atakaa magogoni. Aibu kutumia vitu vya Magu ukionekana.
Baba yangu JPM, mwamba, amepumzika kwa sasa😎.Katika ubora wako,je vp baba yako.
Mungu amrehemuBaba yangu JPM, mwamba, amepumzika kwa sasa😎.
Ccm huwa wanashangilia Mbowe akiteuliwa kuwa mgombea! Go to the data, alipata percent ngapi ya kura aliposimama halafu linganisha na zile za Tundu!Mbowe hawezi kuingia kuwa Rais wa Tz, hivyo ni vyema hizi ndoto ukabaki nazo mwenyewe.
Pumbavu kabisa!Atakaa magogoni. Aibu kutumia vitu vya Magu ukionekana.
Baba yangu JPM, mwamba, amepumzika kwa sasa[emoji41].