Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Unafikiri Watanzania wa leo ni wajinga saaana eeeh????
 
Nimekuuliza swali tuna serikali? Kama mtu anaweza kufanya lolote hapa nchini na asichukuliwe hatua yeyote ile basi hatuna serikali, bali ni GENGE TU la wahuni na wahalifu ndio linalotuongoza. Ndio sababu tunataka mabadiliko, Saa ya Ukombozi ni Sasa.
Ukweli unauma e? Mkuu usiku mwema bana
 
Unamkumbuka Msigwa aliyekiri mbele za watanzania kuwa alimsingizia Mh. Kinana bungeni, halafu huyo huyo anakuja kutaka kupambana na Mag? Are you really serious guys? Sasa CCM mtaiondoaje madaraka kwa watu wa sampuli hii kama akina msigwa?
Kwani Msigwa na wana CCM wa kigamboni??? Vipi kuhusu Kabudi aliyesema tutalipwa trilioni 490 na Acacia alafu baadae akasema Kuna kishika uchumba cha bilioni 700 alafu hadi saivi bado ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya CCM????

Alafu mbona unaweweseka sana Mataga??? Anayepambana na Magu sio Msigwa Bali shujaaa Tundu Antipas Lissu!
 
Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaa TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.
 
Kwa iyo aliyempiga Lissu risasi ni nani??? Embu jitoe ufahamu mwana Lumumba!!!!

Alafu kwani kushika biblia ndo kigezo cha mtu kusema ukweli??? Hilo pandikizi lenu mlilolituma ndo unalitolea mfano humu??? CCM mwaka huu kweli mmeishiwa hoja na mbinu!!!
 
Ata mimi nimeona hilo mbowe hana raha kabisa yani yupo yupo tuu.
HIVI MTU MWENYE RAHA HUA ANAKUWAJE VILEEE?

UNAWEZA UKAWA UNA RAHA NDANI NA USONI USO WA MBUZI; NA UNAWEZA UKAWA USO TABASAMU LA KUMWAGA LAKINI NDANI HUNA RAHA
 
Katika mgombea uraisi asiyejielewa basi ni huyu jamaa mlopokaji afananishaye bwawa la nyumba ya Mungu kuwa sawa na lile la mwl Nyerere. Tanzania watu wanakufa hovyo na kuzikwa usiku, hakuna cha social distancing, lakini kwenye harakati zake hakuna hata moja ya tahadhari anayoichukua kama ni kweli analolisema analimanisha. DC Katambi hakukosea.
 
Tuna utawala wa kipumbavu sana, enzi za Nyerere watawala wa namna hii aliwaita WASHENZI NA WENDAWAZIMU. Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaana TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.
 
Wewe ndo kilaza ambaye hujaelewa hoja ya Lissu na hutaielewa. Lissu kasema Mwl Nyerere alijenga mabwawa yote tunayotumia sasa ila hakuna mahala Nyerere alinyanyasa watu at the expense ya miradi aliyoifanya. Sasa wewe sema humu wapi Nyerere alinyanyasa watu at the expense ya miradi aliyofanya????

Huyu anajenga bwawa moja tu ila anapiga watu risasi na kubambika watu makesi wanaomkosoa!!! Sasa ana uhalali gani wa kufanya ivo???!

Hujaelewa hoja ya Tundu Lissu juu ya corona!!! Kwanza nikuulize je watu hawakuwa wakizikwa usiku???? Kama sio kwa nini Gambo akiwa RC Arusha alizipiga marufuku mamlaka kuzika watu usiku????

Hoja ya Lissu kwenye Corona ni kuwa Raisi alionesha kutokujali afya za watu na maisha ya watu!!! Hapa Hata mie nakubaliana nae. Katika hili kama unamtetea magufuli nioneshe wapi alitoa pole kwa familia zilizopoteza watu wao kwenye janga la corona!!! Nipe uthibitisho hapa!!
 

Na wewe hapa unaona umecjambuaaaaa! CCM hawana watu wa kuwafanyia propaganda kulingana na kizazi hiki. Wana wapigaji tu wanaopewa Hela kuja kutalii kwenye mitandao.

Lowassa si TL. Lowassa alikuwa mwana CCM aliyejeruhiwa. Hakuna na DNA ya mabadiliko. Hakuna na makovu ya mateso toka CCM na magenge yake ya uhalifu. Hakuwa na hasira ya kweli ya kuonewa. Mbowe alimkatibisha kama mwananchama mwingine tu katika mazingira ya mpito. Hakuwa na sababu ya kumzuwia.

Mbowe bado anaaminika sana. Wengi wanajua alimwamini Lowassa toka CCM kama ambavyo Magufuli amewaamini mamia ya Wana Chadema wanaohamia CCM.

Kumnadi TL? Kwani TL anahitaji kunadiwa na mtu? Ni Wana CCM tubwwnaojifanya hamnazo. Wauaji wa CCM na Magufuli ndiyo wamemtangaza TL. Si ndani ya Tanzania tu, bali Kimataifa.

TL hahitaji hata mabango. Kivuli chake tu kinatosha kumfanya Jiwe aamrishe jeshi la polisi likafanye fujo. Sauti yake tu inamdanya Magufuli apimwe presha mara 3 kwa siku.

Halafu eti unakuja hapa na uchambuzi huu wa elimu ya msingi?

Jipangeni sawa sawa. The end has come.
 

Angalia body language ya wana CDM wakati Mnyika anaongelea nguvu ya umma sijui tume huru, uonevu na porojo zingine ambazo Lissu anatumia pia majukwaani.

Wanachama wao wenyewe washaanza kuchoka kusikia hizi habari za kuonewa hewa.
 
Kwa hiyo bado unaendelea kujitoa ufahamu? Ulikuwa unamsikiliza au ndo ule opopoma wenu? Watu wanatengeneza matukio halafu wanailaumu serikali.
Tatizo lako unatumia asilimia kidogo tu ya akili yako! Kama CHADEMA wanatengenezaga matukio, kama Chacha Wangwe, Lisu, kuchoma office zao wenyewe, nk. Kama Wewe na wenzako mnavyo tuaminisha, Kwanini serikali ikaye kimya? Kama waliweza kuwapa kesi ya Aquilina, ambayo muuaji anafahamika, wameshindwaje kutumia hayo matukio kukabiliana nao kwa urahisi tu?!
Unapotaka kusema uongo, peleka kwa chekechea wenzako huko Facebook, Hapa ni home of great thinkers!
 
Bad choice ever of our life time. Nausubiri Mziki wa Magu ukianza watu watatafutana. Watu kiukweli wanajitoa ufahamu.
 

Angalia body language ya wana CDM wakati Mnyika anaongelea nguvu ya umma sijui tume huru, uonevu na porojo zingine ambazo Lissu anatumia pia majukwaani.

Wanachama wao wenyewe washaanza kuchoka kusikia hizi habari za kuonewa hewa.

..nadhani mnaziogopa hizi hoja na ndiyo maana mnatumia nguvu nyingi kuzi-crush.
 
Mbowe hajawahi kumkubali Mtanzania aliyetoka Familia maskini.
Enzi akiwa Shuleni Mbowe alikuwa ni wale wanafunzi wanaotokea familia bora kabisa hivyo hakuwa kuwa na marafiki wasio na Hela.

Mbowe katika maisha yake hajawahi kukaa hata kwenye bar ya kawaida akanywa Kinyagi zaidi ya kukaa kwenye Makasino na Clubs kubwa kubwa na mahoteli kama ya kule Dubai n.k.
Kwa hiyo Mbowe bado hamkubali Lisu kutokana na maisha ya kawaida aliyonayo Lisu kihistoria.
 
..nadhani mnaziogopa hizi hoja na ndiyo maana mnatumia nguvu nyingi kuzi-crush.

Ukiangalia hiyo video kila Mnyika anapoongea mambo ya fujo makada wana tazamana kwa body language ile unadhani wanaafikiana nae? si ndio hoja za Lissu hizo hizo.

Hizo sio campaign za mtu anaejiandaa kushinda bali kushindwa. Huna ata sera tishio zinazojulikana unawaza kuhamasisha fujo ata makada wenyewe washaanza kuwa na mashaka.

Angalia tena hiyo video si mtu mmoja wala wawili miguno ni mingi tu kutoka kwa wajumbe kila anapoongelea mambo ya kudhulimiwa wana angaliana.
 

..TL hajahamasisha fujo.

..CCM sijui kwanini mnajishuku.

..kwanini mnadhani ataleta fujo?

..kwani aliposhindwa ubunge mara moja, na kushinda mara mbili, alileta fujo?
 
We mjinga sana, hata hujui unaongea nini, we unajua mtera inatoa megawatts ngap? Na hilo litatoa ngapi, idiot. Ndo unyumbu huo, jakaya alisema akili za kuambiwa chanaganyana nazako
Sijajua hawa wafuasi wa mzee wa MIGA wana tatizo la uelewa au wanafanya makusudi. Bwawa la Mtera linatoa megawati 80 na Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) litakuwa linatoa megawati 2,115 Hii ni sawa na kusema bwawa la Nyerere uwezo wake ni sawa na kujenga mabwawa 26 ya Mtera ndiyo ufikie uwezo wake. Hii siyo kitu kidogo hasa ukizingatia tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi sasa Tanzania inazalisha umeme wa jumla ya megawati 1,600 tu, lakini bwawa la Nyerere likikamilika litazalisha umeme wa megawati 2,115. Ukisikia mabadiliko chanya yanayokuja ni kwenye hili bwawa litakapokamilika. China baada ya kumaliza kujenga bwawa la "Three Gorges Dam" mwaka 2006 ambalo ni kubwa kuliko yote duniani lenye uwezo wa kuzalisha megawati 22,500 lilichochea kukua kwa uchumi na kuleta matokeo chanya ambayo tunayaona hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…