MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,365
Aje tu ajionee ndugu zake wanavyokula vumbi la barabarani usiku na mchana wakati wa kusafirisha makontena ya makinikia. Kuanzia Kakola hadi kahama ni wingu zito la vumbi kwa malori ya makinikia tulioambiwa HAYATOKI...nasikitika kuwa umepotoshwa kuhusu makinikia.
..bado yanasafirishwa kwenda nje, na wananchi hatujaambiwa yanapelekwa wapi.
..Jpm alikuwa anatafuta popularity tu, lakini suala la utetezi wa rasilimali TL alitetea tangu miaka ya 90.
Aje tu ajionee ndugu zake wanavyokula vumbi la barabarani usiku na mchana wakati wa kusafirisha makontena ya makinikia. Kuanzia Kakola hadi kahama ni wingu zito la vumbi kwa malori ya makinikia tulioambiwa HAYATOKI.
Umenikumbusha ya Lowasa, kimsingi hata baada ya kumpa kura, nilikuwa nikimwangalia naona nimempigia kura yangu kwa sababu ya CDM tu, hakukuwa na sababu ingine. Mtu hata kuongea tu hajui- huwa nasikitika sana kumpa kura yule mzee.Nadhani tathimini yako umeitoa ukiwa mwanachama wa CCM!
Kwa hali ilivyo ya Ugumu wa maisha ya wananchi,vijana kutokuwa na ajira,watu kufunga biashara,nk Mbowe hahitaji kutumia nguvu sana kumnadi Lissu! Hali ya Watu wanaokusanyika kwenye mikutano ya Lissu hadi kufikia sasa hivi haimhitaji Mbowe kumnadi.
Lowasa wakati wa kampeni za 2015 alikuwa hajui hata kuongea kwenye mikutano lakini waliomsaidia walitumia hali ya kisiasa ya wakati huo,Rushwa,Ufisadi,Wizi,nk iliyowaumiza wananchi kuifundisha adabu CCM!