Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Hiyo furaha na confidence aitolee wapi juzi tu ccm mmemtengua kiuno mwenyekiti wetu

Shame on you.
 
You can't compare, naamini jambo moja, kwamba alichokipigania Lowasa sicho anachokipigania Lisu. Lipo jambo ambalo Lisu analitafuta, sisiem inatakuwa kuwa na mkakati mzuri katika kukabiliana na mtu mtu. Huyu kwake neno uhai au kifo hajui tofauti yake, anachojua ni kwamba anawaona watu, na kuna Siku hakuwaona yaani alikuwa nusu mfu. Kwake hakuna uamuzi ulio hasara.
 
Wewe jamaa kweli kiazi.!! Yaani kweli Mbowe aweze kumsafisha Lowassa ambaye alichafuka kila siku sehemu then ashindwe kuwa na confidence na Lissu ambaye hana makando makando ya rushwa na sifa zingine mbaya kwenye jamii.

Acha uchizi wewe, tafuta dawa zako umeze kwanza.
 
Kama amechacha kwa nini mnawehuka humu kila saa kuanzisha thread zinazomuhusu???? Kawashika pabaya na bado nawaambia!!! Lazima mtembee uchi nyie lumumba hadi ifike october
Hutataki chama chenu kifutike ndio maana tunawapa ushauri mapema mumuweke pembeni huyo jamaa, imekua kinyume na matarahio mlitegemea angekuja kuleta hamshahamsha na imani ya chadema kwa wananchi lakini mgombea amekua kituko, anaongea vitu nonesense kabisa, amepitwa na wakati tupo kwenye zama za kujitoa kwenye utegemezi, yeye anakuja na sera za kupigia magoti mataifa makubwa. Jamaa anawaulia chama anafanya chadema inazidi kuonekana ni hovyo kuliko hata hile 2015. Na mgombea mwenza ndio kapoa kama kapigwa shoti, chadema mmetoa boko.
 
We popoma kweli, ilikuwaje sasa alikuwa anapeperusha bendera ya CDM?
 
Mngekuwa hamtaki Chama Chetu kife mngefanya biashara ya kununua madiwani na wabunge wa Chama chetu????? Semeni mnaweweseka tu maana mipango yenu yote imekufa
 
HAWA JAMAA HUWA HAWANA WASHAULI WAZURI, NDO MAANA WAKINA PROF. BAREGU WALISHAMWAGA MANYANGA
 
So, Nyalandu aliyehamia kwenu mlimununua?

Unafananisha Nyarandu aliyehama baada ya nyie kumkataza kwenda kumpa pole ndugu yake Lissu aliyekuwa kitandani Nairobi na hao wahuni kina Lijuakali, Silinde na wengineo mliowanunua Kama Yuda alivyonunuliwa kwa vipande 30???
 
Haujui kwamba kuna watu huwa hawataki unafiki mnaoufanyaga. Me nlisafiri mpaka Ifakara kuthibitisha maneno ya Lijua kuhusu ile Chadema investment, Mh. Lijua kwenye clip yake, aliitaja treckta fulani hivi aina ya John deere, ambalo lilikamatwa kwenye mashamba kule Ifakara, ambalo lilikuwa limenunuliwa na Mwenyekiti kwa hela za ruzuku alizokwapua mpaka leo hii hizo pesa hajarudisha. Kama huamini, nenda kituo cha polisi Ifakara utailikuta. Ndugu yangu, watu huwa hawasemi tu, huwa wanadata mkononi, shauli zako.
Unafananisha Nyarandu aliyehama baada ya nyie kumkataza kwenda kumpa pole ndugu yake Lissu aliyekuwa kitandani Nairobi na hao wahuni kina Lijuakali, Silinde na wengineo mliowanunua Kama Yuda alivyonunuliwa kwa vipande 30???
 
Nani hataki Unafiki??? Lijuakali???? Mtu ambaye hata wajumbe wa CCM wamemtosa na kumpiga chini kwenye ubunge hadi udiwani ndo unakuja kuleta maneno humu hataki unafiki????? Kama hadi Chama chako Mfu mmemuona hafai mie nimuonaje kuwa yeye ni mtu wa maana???

Eti Mwenyekiti anakwapua hela za ruzuku!!! Hao PCCB wamefikia wapi juu ya huo uchunguzi????

Sikiliza we kilaza( CCM mmeishiwa hoja) nyie vijana wa CCM wa leo ni tofauti na sie tuliokuwa CCM zamani tuliokuwa tunaweza kujenga hoja. Huwezi kuja kuleta hoja humu kwa mambo ambayo yanawadhalilisha. Unaanzaje kusema kuwa Mbowe anatumia hela vibaya wakati hata ripoti ya CAG haijatamka hilo. Kama mkaguzi official hajaliona hilo wewe ni nani useme kuna icho kitu?????
 
HAWA JAMAA HUWA HAWANA WASHAULI WAZURI, NDO MAANA WAKINA PROF. BAREGU WALISHAMWAGA MANYANGA
Hao wazee walishauri sana lakini jamaa hawaelewi wakaamaua kubwaga , sasa wanawachora tuu.. na wagombea wao.
 
Wewe baki na akili yako hiyo, ipo siku utakuja kujua mkuu
 
Wewe baki na akili yako hiyo, ipo siku utakuja kujua mkuu
Niambie umetumia kipimo gani kwa Lijuakali kusema hataki unafiki??? Mtu ambaye hadi nyie CCM mmempiga spana kuanzia ubunge hadi udiwani????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…