Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

kibaraka la mabwenyenye ya magharibi anapiga myayo tu huko aliko..
tamaa, mdomo na makelele vimemponza, ataanza mwaka mpya2025 akiwa mikono backbencher chadema dah!

atakua mtu wa kuhudhuria mikutano ya hadhara tu 🐒
Itakuwa lissu anabubujikwa na machozi ya majuto ya kudanganywa na wapambe wake.
 
Jabali la siasa za upinzani ni LISSU, acha kujizima data kwa maslahi ya chama chako. Mnamuogopa Lissu nguli wa siasa za upinzani msema ukweli daima
 
Jabali la siasa za upinzani ni LISSU, acha kujizima data kwa maslahi ya chama chako. Mnamuogopa Lissu nguli wa siasa za upinzani msema ukweli daima
Mwamba Mbowe ndio jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini
 
Kuna Bishop mmoja mshabiki wa CHADEMA anasema sifa ya muhimu kabisa ya kiongozi mzuri wa CHADEMA ni kuchukiwa na CCM.

Anasema ukiona kiongozi wa CHADEMA anapendwa na CCM muogope sana, ujue kuwa huyo si mzuri kwa CHADEMA.

Ingawa siwezi kusema kuwa hii ni sifa ya muhinu kabisa ya kiongozi wa CHADEMA, naweza kuelewa kuwa ni njia muhimu ya kumjua nani kawa compromised na nani hajawa compromised.
 
Wafuasi wa lissu mnahangaika sana baada ya kujua mtu wenu hawezi kushinda mbele ya Mwamba
 
Mimi wala si mfuasi wa Lissu.

Nakushangaa tu wewe CCM mbona unamshabikia sana Mbowe?
Sasa kwanini unalia lia hapa. Nenda ukachukue Fomu kama unataka ili uone kama utapata chochote. Lissu hana ubavu wa kushindana na Mwamba kwenye sanduku la kura
 
Sasa wewe si Ccm,kashawishi wajinga watakuelewa.
Mbowe hana jeuri Kwa Lisu,.Yeye mwenyewe anajua ndio maana ananunua machawa kama nyie wampigie promo.Atahonga wapiga kura watakula hela zake lakini kura Kwa Lisu.Atadhalilishwa kwenye sanduku la kura
 
CCM kwanini ghafla mmekuwa wapiga debe wa mbowe! Why? Si mlisema amekaa sana madarakani! CCM wanamuogopa lissu kama ukoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…