Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

ni kwa sababu anamzuwia lissu asipande juu kuja kuwapa ccm upinzani wa kweli. Mbowe ni underdog kwa ccm. Mwakani ni bora chadema ya mbowe isisimamishe mgombea urais imuunge mkono mgombea wa ccm na ccm iwaachie wabunge wawili na madiwani wawili watatu kama shukrani kwa mbowe kumdhibiti mbowe asipande juu kuja kuwa mpinzani original wa ccm
Sasa na wewe kwa akili yako timamu Unaweza kumpa lissu uenyekiti wa chama? Embu acha utani wako hapa.
 
acha kumuingiza mbowe kingi ili hapo baadae akose hoja za kuwapa za uso, japo tayari mmeishammaliza kisayansi hana upinzani kwa chama chenu, mmemng'oa meno ya kisiasa bila ganzi hang'ati tena, hana makali. Nguli lissu ndilo jitu kubwa mnamuogopa kama jinamizi hamlali usingizi. Mmepata chansi kummalizia huko huko chadema. Ila mfahamu ya kuwa upinzani upo sana tu hata nje ya vyama vya siasa utaibuka kwingine msipodhania na utawapekesha puta nyie ccm mnaomuogopa lissu
Lissu hana uwezo wa kuongoza hata Familia yake tu .sasa ni vipi ataweza kuongoza chama kikuu cha upinzani Nchini?: Anachoweza lissu ni uropokaji tu.
 
CHADEMA haiwezi kuongozwa na mropokaji aina ya Lissu
uropokaji wake una athari kubwa sana kwa ccm ndio maana nyie ccm mnashadidia mbowe amdhibiti asipande juu kuja kuwapa wakati mgumu hususani wakati wa uchaguzi mkuu
 
Viva Mbowe Viva.

Wanaccm tumeungana kumpigia kampeni Mbowe. 2025 Mbowe achukue fomu kugombea urais wa Tanzania. Sisi wanaccm tumekubali kuwaachia chadema urais . Mbowe ni rais ajaye wa Tanzania.
 
Jinga kuu la nchi. Mwamba na jabari ni kichwa lako kama k.......ndu. shetani na chizi. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Kuna uwezekano mkubwa sana ukawa ni muathirika wa madawa ya kulevya.
 
uropokaji wake una athari kubwa sana kwa ccm ndio maana nyie ccm mnashadidia mbowe amdhibiti asipande juu kuja kuwapa wakati mgumu hususani wakati wa uchaguzi mkuu
Nenda umwambie aanzishe chama chake uone kama atapata mwanachama yeyote mwenye akili Timamu.
 
Nenda umwambie aanzishe chama chake uone kama atapata mwanachama yeyote mwenye akili Timamu.
sasa hata kama akianzisha chama huoni kuwa mpaka uchaguzi mkuu mwakani kitakuwa kina usajili wa muda na hakitaweza kushiriki vema uchaguzi huo? Sema ahamie chama kingine ili tu awabane mbavu huko, maana ni tishio kuu kwa siasa zenu kongwe
 
Mbona aligombea 2020 na akaishia kukataliwa na mamilioni ya watanzania?
 
Viva Mbowe Viva.

Wanaccm tumeungana kumpigia kampeni Mbowe. 2025 Mbowe achukue fomu kugombea urais wa Tanzania. Sisi wanaccm tumekubali kuwaachia chadema urais . Mbowe ni rais ajaye wa Tanzania.
kinara wa kampeni za mbowe humu awe lucas mwanshambwa akisaidiwa na malaria2
 
Bob malizia kwanza kulamba buti ya pili ya mchaga mbowe la sivyo utalilia chooni
 
Kunguni ni kunguni tu.

Mbowe tumemjua rangi zake na anachofanya Chadema kwa sasa.

Haihitaji shahada ya chuo kikuu kutambua kunguni aliyendika huu uzi mwezi December mwaka huu ndio yule yule aliyeandika uzi huu Thread 'Mbowe anataka kuficha madhaifu yake ya kushindwa kuongoza chama' Mbowe anataka kuficha madhaifu yake ya kushindwa kuongoza chama

Mwezi January , Mbowe ameonekana maslahi yake yako wapi na bahati nzuri wenye akili wamekataa kurudia yale yale ya 2015 , ni aidha sasa watu watakaa kando zaidi kuliko ilivyokuwa 2015 au ndio Mbowe kufanana na Ibrahim Lipumba.
 
Sasa mbona matokeo yake yalikuwa na utata hadi leo yanalaumiwa na wadau wa siasa za upinzani?
 
Back
Top Bottom