Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

Aise hadi ccm wanamtaka mbowe maana yake nikwamba.
Wanamaslahi yao binafsi na wanamuogopa TL
 
Mimi ni chadema miaka mingi na sijawahi kupigia kura ccm.
Ila kwa hili Mbowe ameniudhi na kwa mara ya kwanza nitalala nyumbani kura sitapiga kabisaa uchaguzi mkuu mwakani!.
 
Tupo na Mbowe ,tuvushe mwamba
 
CCM kwanini ghafla mmekuwa wapiga debe wa mbowe! Why? Si mlisema amekaa sana madarakani! CCM wanamuogopa lissu kama ukoma
Wana CHADEMA ndio Wamekuwa wakimuweka madarakani kwa imani kubwa waliyonayo kwa Mwamba. Na hata sasa wanakwenda kumpa Miaka mingine Mitano kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Mnanufaika nae,aisee
Yaan waziwazi.,..mmeshindwa kujificha
 
Mimi ni chadema miaka mingi na sijawahi kupigia kura ccm.
Ila kwa hili Mbowe ameniudhi na kwa mara ya kwanza nitalala nyumbani kura sitapiga kabisaa uchaguzi mkuu mwakani!.
Usiishie kulala tu bali ukitaka hama hata Nchi kabisa.
 
Mwamba Mbowe ndio jabali la siasa za Upinzani hapa Nchini
ni mlaini kwa chama chenu hawezi kushindana na chama chenu labda mumuonee huruma hapo mwakani kwenye uchaguzi mkuu mmpe wabunge na madiwani wawili watatu kama zawadi kwa kumzuwia nguli wa siasa za upinzani lissu asipande juu kuwapa kibano heavy chama chenu. Halafu uendelee kumsifia mbowe hadi mwakani kwenye uchaguzi mkuu hata akichukua fomu kuchuana na mama. Vipi unaonaje amuunge mkono mama hapo mwakani kwa chadema yake isitoe mgombea wa uraisi ili mama asipate upinzani?
 
Kwa hakika Mwamba ndiye mtu Sahihi wa kuivusha CHADEMA katika milima na Mabonde.
acha kumuingiza mbowe kingi ili hapo baadae akose hoja za kuwapa za uso, japo tayari mmeishammaliza kisayansi hana upinzani kwa chama chenu, mmemng'oa meno ya kisiasa bila ganzi hang'ati tena, hana makali. Nguli lissu ndilo jitu kubwa mnamuogopa kama jinamizi hamlali usingizi. Mmepata chansi kummalizia huko huko chadema. Ila mfahamu ya kuwa upinzani upo sana tu hata nje ya vyama vya siasa utaibuka kwingine msipodhania na utawapekesha puta nyie ccm mnaomuogopa lissu
 
CCM kwanini ghafla mmekuwa wapiga debe wa mbowe! Why? Si mlisema amekaa sana madarakani! CCM wanamuogopa lissu kama ukoma
ni kwa sababu anamzuwia lissu asipande juu kuja kuwapa ccm upinzani wa kweli. Mbowe ni underdog kwa ccm. Mwakani ni bora chadema ya mbowe isisimamishe mgombea urais imuunge mkono mgombea wa ccm na ccm iwaachie wabunge wawili na madiwani wawili watatu kama shukrani kwa mbowe kumdhibiti mbowe asipande juu kuja kuwa mpinzani original wa ccm
 
Jinga kuu la nchi. Mwamba na jabari ni kichwa lako kama k.......ndu. shetani na chizi. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Lucasa🤣, ni wewe umeandika au nimeota?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…