Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

Viva Mbowe Viva.

Wanaccm tumeungana kumpigia kampeni Mbowe. 2025 Mbowe achukue fomu kugombea urais wa Tanzania. Sisi wanaccm tumekubali kuwaachia chadema urais . Mbowe ni rais ajaye wa Tanzania.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ kwenye uchaguzi CCM hainaga urafiki. Utakuta hadi makamu wa Rais anampigania diwani ashinde kwenye uchaguzi... urafiki kwenye mambo mengine ila sio UCHAGUZI.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kitengo wamefaulu kubamba mitandaoni baada ya kukimbiwa na Musiba.
 
Niishie ku-define nini maana ya Mnafiki;
Mnafiki ni mtu ambaye haonyeshi tabia ya ukweli au uaminifu katika maneno yake au matendo yake. Huyu ni mtu anayejifanya kuwa mwaaminifu kwa kile anachokisema, mwenye nia njema, au mwenye kufuata maadili fulani, ilhali kwa siri ana malengo tofauti au nia mbaya. Kwa kifupi, mnafiki ni mtu ambaye haendani na kile anachosema au kujionyesha kuwa.
 
mwamba tuvushe
Kwa hakika Mwamba anakwenda kuwavusha wana CHADEMA ambao kwa sasa wababubujikwa na machozi ya furaha tu.Wamejaa raha tupu mioyoni mwao na wanajiandaa kumpigia Mwamba kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Vyema sana na kwa hakika wewe ni Mwanafunzi makini.Embu chukua sasa daftari lako ueleze maana ya mzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…