Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

Hao wagombea wote wawili sera zao hazieleweki, wanaweza kuwa na mvuto ndani ya chadema nje ya hapo hamna kitu.
 
Wewe kada wa ccm unafarijikaje na mambo yenu?au kwakuwa mmeweka pandikizi lenu?
CCM, CHADEMA na ACT ni matapeli tu, mimi nanufaika na kikoba cha mchagga mwenzangu, hiyo michango ya uanachama na ruzuku inatusaidia sana siku za christmass.
 
bora FAM kwanza ana hela hii inapelekeq kupata utulivu wa kiongoza chama.na pia ana backup ya kuwalipa makamanda kutoka hela ya mfukon .na pia hajawah lukimbolia nje ya nchi. Nasema Freman aikael Mbowwe anatosha
 
Kwa hakika Mwamba anatosha kabisa kuivusha CHADEMA
 
Mdude jr kwenye ubora wako
 
Anagombea ?
 
Kwa kweli unaweza kumchukia Mbowe lakini akianza kujieleza tu ana mvuto mkali sana wa kisiasa.Lisu nadhani ajitafute tu ingawaje kuna zee moja chambuzi lililochoka linaonekana kuunga mkono Tundu la Lissu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…