Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

Nyie chawa wa mama iwe ni Mbowe au Lissu mtahaha tu siku zote na uchawa hautawaisha.
 
Kunguni wa mama Abduli upo?

Umeona uchaguzi live mwanzo mpaka mwisho kura zikipigwa hakuna kura za kuingizwa kwenye vikapu.

Vipi chama cha majizi mnaweza kufanya hivyo bila watu kuchapa form 1 tu ?

Nafikiri sasa inabidi ububujikwe na ujinga mwingi ulionao kwenye hicho kichwa kuliko kububujikwa na machozi.
 
Sawa mkuu. Na watabubujikwa sana tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…