Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ni suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase.
Chiba juzi asingenasuliwa na kusepa kule Ulaya, leo hii angekuwa stendi ya Keko. Ana bahati yule mtu!
Maadui hawapendezwi na harakati mpya za kupinga na ushirika na wakosoaji wa bwana mkubwa. Mikakati imeshapangwa na imepangika. Ni umakini pekee ndiyo utafanya mwamba aweze kujinasua.
Na awamu hii mwamba akinasa, hiyo kurejea ni hadi 2026 huko ili kipindi cha kati hapa kusiwepo na usumbufu kwa wakuu kuipita njia ile iendayo pale Kaanani 2025.
Akili mkichwa, nilikuwepo.