Mbowe jiandae mtego unaelekea kukunasa

Mwamba na Chiba waliwekwa ndani mwarabu atapewa kibali cha kuwapakuwa watanganyika
 
Hao mbwa hawana ubavu ni mashosti tu kwa mbowe Tanganyika ni kubwa kuliko hao wazenji vichwa panzi
 



Sijui hili jambo wewe linakuhusu nini:

  • Ni Baba ako?
  • Ni mume wako?

Shida yako nini? Ana washauri, utashi, yeye ndo aliwekwa kizuizini, yeye ndo anaendelea na yale yale mambo yake, ni mtu mzima?

SHIDA yako NINI?
 
Acha kutisha watu. Wewe kama unaogopa jela kimpango wako. Wengine wamechagua kufa kishujaa kuliko kufa kibwege
 
Hakuna vitisho ambavyo Mbowe hajavipata , hiki chako ni upuuzi mtupu
 
Unataka kutudanganya Lissu anaogopa jela zao?!

Au Mbowe?

Hapana, siamini hiki ulichoandika.
 
Umeandika kana kwamba ni kitu unachofurahia wenzako kupata mahangaiko.

Iwe kukaa jela/sero au kuumizwa na mambo ya wengine yote ni mahangaiko

Kifupi maisha bila mahangaiko hayana utimilifu.
Inawezekana pia ukawa sahihi.
Lakini sentensi ya awali ina maana kubwa kwa mwandishi. Vinginevyo maneno yangu yataabaki kama yalivyo.
 
Kongole nyingi mno ziende kwa watu wote walioguswa na sakata hili la bandari zetu Nchi hii kwa sasa inawahitaji mno watu wote wenye kariba hizo kwa ajili ya ulinzi wa rasilimali za taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…