Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA
NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa Kisutu angemaliza mahakimu wote kusikiliza kesi zake.
Mbowe ni wazi kafika mwisho kwenye kupambana na kujibu hoja za majukwaani na wanasiasa wenzake na ni wazi kuwa hana ushawishi tena wa kupambana na hoja hizo. Mbowe huyu huyu si ndiye aliyesema bandari imeuzwa na akazunguka nchi nzima kufanya utapeli wa kura za wananchi sijui kupinga bandari kubinafsishwa. Ile kura iliishiwa wapi? Mbowe huyu huyu si ndiyo aliyekusanya mamilioni ya join the chain ambayo mpaka leo hawezi kutolea maelezo zile fedha zimekwenda wapi? Mbowe huyu si ndiyo alikopesha watu kununua magari toka Japan kwa ruzuku za chama na akatumia chama kuidanganya serikali kwa gari lile kupata msamaha wa kodi huku akijua ni kosa? Huyu Mbowe si ndiyo anahusika na makandokando ya kukopesha chama kila siku na kubugia michango pamoja na miradi yake ya uongo na kweli kule Namawala Ifakara kwa kutumia hela za chama!? Sasa kosa la mchungaji Msigwa liko wapi hapa? Yaani kusema ukweli ni kosa?
Mchungaji Msigwa anajua mambo mengi sana kuhusu bwana Mbowe na SACCOS yake ndiyo maana kila sindano aliyopigwa Mbowe na Mchungaji Msigwa imesababisha jipu kwa bwana Mbowe ndiyo maana sasa kupunguza majipu yasiwe mengi kaona isiwe tabu bora kutangulia mahakamani kulalamika asiendelee kupasuliwa maana majipu yakiwa mengi atashindwa kukaa au atakuwa anakaa tako moja!..
Mchungaji Msigwa alikuwa sahihi sana kusema CHADEMA ni SACCOS ya bwana Mbowe na familia yake na Mbowe ni sawa na Nkurunzinza. Hakuna ubishi wa hilo ndiyo maana kuna watu kama akina Lijualikali waliondoka CHADEMA kwa kushindwa kuelewana na Mbowe pale walipouliza michango ya wabunge wanayokatwa mishahara kila mwezi inafanya kazi gani? Mbowe alikuwa anakusanya michango na makato toka kwenye mishahara ya wabunge wote wa CHADEMA isipokuwa Heche na Lema (wao waligoma kukatwa) na michango hiyo kwa zaidi ya miaka 10 haijawahi kujulikana inafanyia nini. Sasa SACCOS si ndiyo mambo haya ya kukata hela na kukopeshana au kuna SACCOS haifanyi haya anayofanya au aliyokuwa anafanya bwana Mbowe?
Hoja za kisiasa zinapohamishiwa mahakamani ni dalili kuwa mlalamikaji kafika mwisho na ana maumivu makali sana kwa yale yaliyosemwa na hii ni dalili nzuri sana kwa wanasiasa waliofika mwisho na kufilisika kisiasa. Wao wanajipa uhalali wa kutukana na kukejeli na kusema uongo kwa wengine lakini wakiguswa wao wanakimbilia mahahakamani.
Kichekesho ni kuwa Mbowe ndiye anajipanga kugombea Urais 2025 kupitia CHADEMA na tayari anaumizwa na mambo madogo madogo kama haya.
Sasa wakianza kuongelea mambo ya akina Joyce Nkya na akina Ruge si itakuwa patashika sana? Maana ukigombea urais kaa ukijua kuwa maisha yako mpaka ya chumbani yataanikwa hadharani na watu walivyo wehu watasema mpaka siku ile unakamatwa kule Mwanza hotelini ulikuwa na nani chumbani. Siyo kwamba hawajui wanajua sana wanakulia timing tu ni lini wasema !
MWISHO ni kuwa inaonekana UFIPA wameumizwa sana na kitendo cha Mchungaji Msigwa kuhamia CCM na wana hofu sana kuwa hawataweza kuhimili mashambulizi wanayopigwa.