Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

Suala la M/kiti kukaa madarakani miaka dahari inanifanya niachane na mambo ya Siasa.
 
Mchungaji Msigwa alikuwa sahihi sana kusema CHADEMA ni SACCOS ya bwana Mbowe na familia yake na
Mbowe ni sawa na Nkurunzinza.
Oops,na BWANA Mbowe alikuwa sahihi sana kusema Pasta Msigwa na atakaoambatana nao waliompa usajili hao CCM pamoja na familia yake wakutane mahakamani majibu yapatikane.
 
Oops,na BWANA Mbowe alikuwa sahihi sana kusema Pasta Msigwa na atakaoambatana nao waliompa usajili hao CCM pamoja na familia yake wakutane mahakamani majibu yapatikane.
Mbowe anapoteza muda wake tu, kuna mtu muongo kama Mbowe.

Mbowe ni wazi kafika mwisho kwenye kupambana na kujibu hoja za majukwaani na wanasiasa wenzake na ni wazi kuwa hana ushawishi tena wa kupambana na hoja hizo. Mbowe huyu huyu si ndiye aliyesema bandari imeuzwa na akazunguka nchi nzima kufanya utapeli wa kura za wananchi sijui kupinga bandari kubinafsishwa. Ile kura iliishiwa wapi?
 
Back
Top Bottom