Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

Mbowe kakosea timing kabisa. Kwa mwanasiasa kama Msigwa hicho kitisho cha Sultani Mbowe kitampa political mileage ya bure kabisa.
kushindwa kuelewana na Mbowe pale walipouliza michango ya wabunge.
 
Mbowe kakosea timing kabisa. Kwa mwanasiasa kama Msigwa hicho kitisho cha Sultani Mbowe kitampa political mileage ya bure kabisa.

Pls pls Mch Maigwa endelea kushupaza shingo tuone panapovuja siku tano siyo nyingi baba mchungaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchungaji Msigwa alikuwa sahihi sana kusema CHADEMA ni SACCOS ya bwana Mbowe na familia yake na
Mbowe ni sawa na Nkurunzinza.
Kila chama ni saccos ndio maana wanakaguliwa hesabu na CAG.
 
Mbowe ana haki ya kwenda mahakani, hata Kinana alimshitaki Msigwa na akaambiwa alipe milioni 350
 
Tuliza makalio huyo be roporopo wenu anyooshwe.
 
Ccm yangu mnahangaika sanaa

Mboye amekataaa kwa alichokashifiwaa ndio maana amemuandikia demands notice amlipe kwa kumchafua ,
Ndio jibu kwamba hausiki na hicho Mchungaji alichosema na anamtaka amuombe radhi

Kama anaushaidi asubiri mahakama imuamuru atoe huo ushaidi wake.
Na notice hii ni majibu kwamba mboye hausiki au anakana kwamba kashfa zote hazipo.
Jaribu kielewa kwa kichwa kirahisi tuuu
 
Mbowe kakosea timing kabisa. Kwa mwanasiasa kama Msigwa hicho kitisho cha Sultani Mbowe kitampa political mileage ya bure kabisa.
Hiyo mileage itaipata kwa mapunguani, siyo kutoka kwa watu wenye akili. Huyu Msigwa atakuwa Msiba wa pili.
 
binafsi siipendi CCM na sina cha kuifanya, nikaamua kuiacha kama ilivyo, ila CHADEMA sasa ndio nilikuwa najaribu kuwaelewa lakini mpaka leo hii sijaelewa chochote nao nimeamua kuachana nao, kama ilivyo kwa Simba, nimeamini kila kitu si kwa kila Mtu, Siasa imenipiga KO, japo inanifelisha sana ktk utaftaji wangu.
 
Kuna uhusiano gani na CCM Mbowe kushindwa kuelewana na wenzake pale walipouliza michango ya wabunge wanayokatwa mishahara kila mwezi inafanya kazi gani?
 
Taifa hili na watz wana matatzo lukuki tena mengi yanasababshwa na utawala wa mafisad na majizi ccm je mambo ya mbowe ndo chanzo cha matatzo ya taifa hli, hayo aliyosema msigwa ndcho chanzo cha matatzo ya taifa hli? Wanaosaini mikataba kwny raslimali zetu ambayo inawanufaisha je wataacha kwa kukomalia mbowe mbowe, mashirika yote hoi, viwanda vyote n magofu tupu, ajira hakuna, kilimo hoi bajeti yote inaishia kwny matumiz ya kawaida halafu unataka watz wenye akili timamu tuzungumze mambo ya mbowe sjui ajbu upumbavu wa msigwa halafua tuache hayo. Kwan mbowe si amechagua kujbu kwa kumtaka msigwa apeleke ushahd mahakaman au unampangia namna ya kujbu? Sishangai watz kuwa wajinga afrika nzma kwa akili za watu wa namna yako.
 
Safi Sana, maneno mazuri Sana haya. Mshauri Sasa akathibitishe mahakamani au aweke mezani bil.5.
 
Sio tuhuma zako za kitoto ni za kijinga sana, unasumbuliwa sana DP World kwa mgongo wa dini.UAE na Dubai in particular wanafanya biashara kubwa na Israel inayowawezesha kununua silaha zinazo wauwa maelfu ya Waislamu Gaza, Palestine, Lebanon, Syria na Yemen.
Punguza hoja za kishamba ku justify ujinga .
 
Msigwa acha kuweweseka kwa kujificha kwenye IDs fake.
 
Tulia, kesi ipo mahakamani. Muda utasem nani ni mjinga
 
Mchungaji Msigwa anajua mambo mengi sana kuhusu bwana Mbowe na SACCOS yake ndiyo maana kila sindano aliyopigwa Mbowe na Mchungaji Msigwa imesababisha jipu kwa bwana Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…