Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

Mbowe anataka kutoa funzo. Mbowe hana njaa kama Pimbi Msigwa
Angekuwa hana njaa angekusanya michango ya wabunge kisha anakula watu wakihoji anawafukuza chama.
 
Ndio maana kampeleka msigwa mahakamani ili akathibitishe hilo. Sasa ninamshangaa Msigwa kwa kusema m/kiti wa CHADEMA na Mbowe ni watu wawili tofauti
 
Ritz siku hizi unazidi kuishia zako.
Yaani UFIPA wamepambana kwa sera na propaganda dhidi ya CCM wamefika mahali wamekwama sasa wameona njia ni kufanya maombi tu na hakuna kingine.

SIASA SIYO AJIRA.. SIASA NI WITO NA KUJITOLEA
 
Attachments

  • IMG_8470.jpeg
    800.5 KB · Views: 1
Ndio maana kampeleka msigwa mahakamani ili akathibitishe hilo. Sasa ninamshangaa Msigwa kwa kusema m/kiti wa CHADEMA na Mbowe ni watu wawili tofauti
UFIPA ni kikundi cha wahuni waliojikusanya kufanya siasa kama sehemu ya kujikimu kimaisha na kujiingizia kipato na kuwa kazi ya kuendesha maisha yao na familia zao.
 
Kumbe wewe jamaa ni mjinga kiasi hichi!
 
Unatia aibu ukiwa wapi? Tangu lini wewe ukawa na Ushirika na Wachungaji na Maaskofu, Au unadhani tumekusahau?
 
Msigwa mwenyewe anasema anashangaa Mbowe kutaka kumshitaki wakati yeye anaongea kisiasa tu, halafu unakuja wewe kujikakamua hadharani, wakati Msigwa wako kaamua kuchutama.
Kwa hiyo Msigwa atampa Mbowe Bilioni 5?
 
Unatia aibu ukiwa wapi? Tangu lini wewe ukawa na Ushirika na Wachungaji na Maaskofu, Au unadhani tumekusahau?
Acha nitie aibu nimeshindwa kukuelewa , yaani Mbowe awe na uhalali kumhoji rais wa nchi kuhusu matumizi ya fedha za umma , halafu chama cha umma chadema inayotumia fedha za umaa kujiendesha isihojiwe .
 
Njoo Mahakamani umsaidie
 
Acha nitie aibu nimeshindwa kukuelewa , yaani Mbowe awe na uhalali kumhoji rais wa nchi kuhusu matumizi ya fedha za umma , halafu chama cha umma chadema inayotumia fedha za umaa kujiendesha isihojiwe .
Unaelewa maana ya kuhoji? Msigwa amehoji?
 
Umefufukia wapi wewe mchawi Ritz...?
 
Sasa,mbona wewe ndiye uliyelalamika kuliko Mbowe?
 
Mchungaji Msigwa alikuwa sahihi sana kusema CHADEMA ni SACCOS ya bwana Mbowe na familia yake na
Mbowe ni sawa na Nkurunzinza.
Sasa atakwenda kuthibitisha mahakamani
 
Wewe ni mmoja ya wajinga wakubwa Tanzania wenye uwezo wa kununua bundle, nyie wajinga ndio mlipaswa kutekwa na kupotezwa, cha ajabu bado mpo uraiani mnaendeleza propaganda za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…