Oops,na BWANA Mbowe alikuwa sahihi sana kusema Pasta Msigwa na atakaoambatana nao waliompa usajili hao CCM pamoja na familia yake wakutane mahakamani majibu yapatikane.
Oops,na BWANA Mbowe alikuwa sahihi sana kusema Pasta Msigwa na atakaoambatana nao waliompa usajili hao CCM pamoja na familia yake wakutane mahakamani majibu yapatikane.
Mbowe anapoteza muda wake tu, kuna mtu muongo kama Mbowe.
Mbowe ni wazi kafika mwisho kwenye kupambana na kujibu hoja za majukwaani na wanasiasa wenzake na ni wazi kuwa hana ushawishi tena wa kupambana na hoja hizo. Mbowe huyu huyu si ndiye aliyesema bandari imeuzwa na akazunguka nchi nzima kufanya utapeli wa kura za wananchi sijui kupinga bandari kubinafsishwa. Ile kura iliishiwa wapi?