Mbowe kaamua kuchagua fedha na sio heshima

Watanzania na Wajumbe wa CCM hakuna tofauti wote wanajali mlo wa siku tu

Mbowe kama binadamu ameyaona maumivu hanabudi kufanya anachoamua
 
Kachagua lililo jema kwake kulingana na wakati na matukio, kifaranga daima hakijawahi mpanda baba. Kakaa kimya baada mumwagia maji taka japo kawakuza na mimavi mkimnyea mikononi hakuikata ila mmekua leo hamumtambui nguvu na changamoto alizopitia baba yenu aka Mbowe zaidi ya kukaa kimya na kumtafuta na wazee myajenge mwamtukana! Hadi fikia hapo miezi ijayo tupitishe taarifa magari ya chama pekee tukimbiane
 
Hata mmchafue ana heshima yake katika siasa za Tanzania tofauti na we unaemdis tena kwa jina fake nyuma ya keyboard
 
Uamuzi wa kufanya siasa ni wake, hata kama anaenda Chauma ni haki yake.
Kama Chadema imeona ameishiwa wengine wanaona atawavusha
Mwacheni awapiganie.
No code
No honor
No respect.
 
Wewe Rais wa JF una hoja dhaifu kama walivyo wanaCHADEMA wengi. Hatima ya maisha ya kisiasa kwa Mbowe iko mikononi mwake. Kuhama chama ni haki yake kikatiba kama atahama. Huu upuuzi wa kudhani mtu kahongwa kisa kahama chama ni wa kukemewa. Mzee Wasira na Makongoro walivyohama CCM na kwenda NCCR miaka hiyo nao walihongwa? Ifike sehemu CHADEMA na wewe Denis mjue kuwa gharama za demokrasia ni kubwa zinazohitaji uvumilivu.
 
Siku ukiacha kujifikiria wewe kama wewe utanielewa
 
Umeongea vizuri sana na sababu hasa yakuchagua fedha nikuchoka kuwapigania watu wasiyo jitambua.Mbowe amepitia misukosuko mingi sana na yeyeye kima binadamu ana kilele cha uvumilivu amevumilia amechoka ,Ameona bora aungane nao maisha yaendelee.Ila ajue alibeba dhamana kubwa ya maisha ya watu ,Mungu husema hupatiliza hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao ,anawapandia laana mbaya kizazi chake kwa ukengemfu fedha za damu za watu huwa hazimuachi mtu salama.
 
Hili andiko lako linakosa facts muhimu. Kwanza angalia namna Mbowe alivyoondoka kwenye uenyekiti , je kwa aina ya kampeni zile bado angeweza kuwa mshauri wa chama?. Mbili, hata kabla ya uchaguzi kufanyika, alisema akishindwa anarudi kwenye biashara zake, hili analisemea vipi?
 
Play your part. Fine, Yeye kama amevurunda, it is none of your business. Wewe tafuta heshima yako maana Mbowe hukuwa na mkataba naye. Wewe una Mkataba na Samia, Mseme Samia atekeleze kiapo chake mbele yako na Umma wa Watanzania. Wewe huna Kiapo na Mbowe!
 
Mpaka leo hujui mbowe ni public kuna watu hata hawajui ila wanajifunza kutoka kwake unasafari ndefu sana kifikra
 
Kwanini alishiriki uchaguzi basi asingeshiriki uchaguzi wa tarehe 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…