Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.

 
tumesha maliza la tozo.....sasa turudi tena kwenye katiba mpya.
 
"Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe https://t.co/dgU4wJPsY7
Hii tuachie sisi wapigania haki, wewe rudu lumumba kwa zero brain wenzako, nasikia toka mwendakuzimu afe hamlipwi tena ile buku7?
 
Back
Top Bottom