Pre GE2025 Mbowe: Kipindi cha Magufuli biashara zangu ziliharibika nikaomba likizo kutoka Chadema ili niweke mambo yangu sawa wenzangu wakanikatalia

Pre GE2025 Mbowe: Kipindi cha Magufuli biashara zangu ziliharibika nikaomba likizo kutoka Chadema ili niweke mambo yangu sawa wenzangu wakanikatalia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani huyu mzee anafanyaga biashara gani!
 
Sasa kama uliomba kutoka wakakataa sahivi si utoke ina maana hata 2030 ukikataliwa kuondoka utabaki kwenye kiti? Hii tabia ya kusema "nimelazimishwa" ni ya KI-CCM sana.
Sasa kama aliomba atoke kwa nini sasa anang'ang'ania?
Kwa Sasa kaombwa na wanachama agombee tena uenyekiti msisahau yake maandamano mpaka nyumbani kwake kumuomba agombee.
 
Kwani huyu mzee anafanyaga biashara gani!
Akiambiwa ataje anapata kigugumizi ,kuna kahotel aliachiwa na baba yake pale machame ndio kinatumika kama kinga kuwa ni mfanyabiashara mkubwa 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Nikiwa kama kada wa chama cha mapinduzi..Mbowe ni hazina..Mbowe ana Busara... Mpeni mitano tena
 
chadema noma ,MUDA huu mbowe kabananishwa clouds na power breakfast show

Kunakikao Cha kamati kuu, kipo kinaendeshwa MUDA huu na LISU ....nimecheka sana
kasema kuna kikao na makamu mwenyekiti lissu anakisimamia
 
Biashara gani niliona Green house na Bilicanas huo ukumbi wa starehe ulikua kwenye nyumba ya serikali alikua amepanga akaondolewa mwenye nyumba akavunja kuna tatizo hapo
 
Sasa kama uliomba kutoka wakakataa sahivi si utoke ina maana hata 2030 ukikataliwa kuondoka utabaki kwenye kiti? Hii tabia ya kusema "nimelazimishwa" ni ya KI-CCM sana.
Kabisa, Mbowe amekaa madarakani hadi ametufanya tusitake kiongozi mzuri, bali ni yeye tu kuondoka madarakani.
 
Back
Top Bottom