the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
NgadaKwani huyu mzee anafanyaga biashara gani!
Sasa kama uliomba kutoka wakakataa sahivi si utoke ina maana hata 2030 ukikataliwa kuondoka utabaki kwenye kiti? Hii tabia ya kusema "nimelazimishwa" ni ya KI-CCM sana.
Kwa Sasa kaombwa na wanachama agombee tena uenyekiti msisahau yake maandamano mpaka nyumbani kwake kumuomba agombee.Sasa kama aliomba atoke kwa nini sasa anang'ang'ania?
Huyu ndio kiongozi wa kuongoza nchi hii: Freeman Aikael Mbowe!
Akiambiwa ataje anapata kigugumizi ,kuna kahotel aliachiwa na baba yake pale machame ndio kinatumika kama kinga kuwa ni mfanyabiashara mkubwa πββοΈπββοΈπββοΈKwani huyu mzee anafanyaga biashara gani!
chadema noma ,MUDA huu mbowe kabananishwa clouds na power breakfast showFamily ya Freeman iingilie Kati kulinda Jina πΌ
Anashushwa hadhi bila kujitambua πΌchadema noma ,MUDA huu mbowe kabananishwa clouds na power breakfast show
Kunakikao Cha kamati kuu, kipo kinaendeshwa MUDA huu na LISU ....nimecheka sana
na,nikweli kunamajibu anajibu hayaelewekiAnashushwa hadhi bila kujitambua πΌ
kasema kuna kikao na makamu mwenyekiti lissu anakisimamiachadema noma ,MUDA huu mbowe kabananishwa clouds na power breakfast show
Kunakikao Cha kamati kuu, kipo kinaendeshwa MUDA huu na LISU ....nimecheka sana
Kabisa, Mbowe amekaa madarakani hadi ametufanya tusitake kiongozi mzuri, bali ni yeye tu kuondoka madarakani.Sasa kama uliomba kutoka wakakataa sahivi si utoke ina maana hata 2030 ukikataliwa kuondoka utabaki kwenye kiti? Hii tabia ya kusema "nimelazimishwa" ni ya KI-CCM sana.